[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zero: umevaaje my
dorice:dela
zero: na nini!
dorce: tight
zero: wow! na nini tena!
dorce: chupi.
zero: wow!hadi nimesimamisha!
dorce: mmh jaman weye!
zero: chupi rangi gani my
dorce: nyeusi
zero: mijgjmadjjggmitaitn
HahahahaAnasongesha life la chuo kwa kiepe cha jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
daah Kikuyu 😅😅 nimepamiss sana.kila mtu anaplay list yake kwa inbox yake ya simu kule kwenye sms hii sasa ndio Top list yangu ya leo,
Kule kwa box yangu leoTop ni hii tu.
View attachment 1153687
Cc Zero IQ
nimekulia huko lakini nina miaka 10+ sijakanyaga. nimeishi maeneo karibu na chuo cha st john tangu kipindi ilikuwa bording school.Kwa kidoso kinoma kuna wahuni
[emoji16][emoji16][emoji16] kipindi hicho inaitwa Mazengo secondary school ya kina ngwair au sio mkuunimekulia huko lakini nina miaka 10+ sijakanyaga. nimeishi maeneo karibu na chuo cha st john tangu kipindi ilikuwa bording school.
yaap.[emoji16][emoji16][emoji16] kipindi hicho inaitwa Mazengo secondary school ya kina ngwair au sio mkuu