Iyo 0622... Mbona haipatikanikila mtu anaplay list yake kwa inbox yake ya simu kule kwenye sms hii sasa ndio Top list yangu ya leo,
Kule kwa box yangu leoTop ni hii tu.
View attachment 1153687
Cc Zero IQ
Namtaka uyo uyo jamaa wa Guest mkuu nimfanyie Maombi aokoke .Yaani mkuu umepiga hiyo unaonekana una ugwadu eeh [emoji16][emoji16][emoji16] hiyo namba ya jamaa wa Gest wewe
Yupo dar temeke mkuu[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] wewe Dorice wako yuko wapi mkuu
Mumuone yeye ni konkiUnataka tukusaidieje
Tuzione mkuuWengine sisi ni meseji za tala na branch tu mara mdaiwa sugu mara polisi wapo mlangani kwako tafrani tu