Hii ndio Yatch party ya Diamond ?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani , nilivyosikia party ya Diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama alivyo Diamond mwenyewe, nikategemea kuona watu wazito wenye heshima zao .

Diamond ana pesa Ila hanaga class, yani yupo yupo tu, Leo ndo nimeamini money can not buy classy , yani party ya dollar 500 mpaka akina juma lokole wapo? Diamond excuse me , next time ujipange, umejaza mijanamke ya uswazi hawana mbele wala nyuma, diamond should learn from other celebrities , aache mazoea na watu wa kipumbavu

Party ya kiswazi, uchafu mtu , wanawake wachafu, mpangilio wa nguo watu kama wanaenda kwenye msiba, in short haijanishtua bado
 
Kwanini hiyo party ikushtue??.. kuna wengine imewashtua ...
 
POVU KAMA LOTE.
 
Andaa na yako ushtue kwahyo hiyo ulitaka wakae uchi au
Afu mbona hiyo party ndo instrend insta sahv hakuna kinachotrend zaidi ya hicho
 
hy birthday alifanya kwako, au dola jero ndo imekulewesha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…