William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.
Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....
Nani anamsoma Mzushi huyu, anawachukia wanawake kwa sababu ana kibamia, dawa ni kumnunulia dild. Ili atumie na kidole gumba, ukiona mwanaume msengezaji ujue chini ni kichungi
😂😂😂Baiskeli mkuu
Kwa Mtogole lami kabisa atakuwa anakaa Mpiji majohe[emoji23][emoji23][emoji23]halafu mmiliki anakaa kwa mtogole
Mbona sijakuona kikaoni Ursino Morocco? Anarudi November
Mnaongea kiswahili halafu bado siwaelewiDah!! kumbe mkuu uko front line!. Mi nipo Musoma now, ila xmonks walinipenyezea picha kadhaa tu, hawakunipa news zozote. Mkuu nitupie news inbobo basi. Ila kila nikiangalia lile dude alilojenga pale S.A huwa sipati picha yule jamaa alikuwa na mission na akili gani. Halafu akamuachia Master Hsing Yun kwa roho safi tu.
Kuna demu alipewa Jeep kama sikosei ni yule punda wa Jux anayetafunwa na monk huko china Jacky nani sijuiHappiness Magese pekeyake ndio alipata zawadi ya haki... NISSAN HARDBOARD BRAND NEW
Hahahahahaaaa!!!!Mnaongea kiswahili halafu bado siwaelewi
Kingekuwa Kingereza sijui ingekuwaje
Asalalee!
Basila has done it, kamkuwadie rafiki yako akulipie harusi, don't try to undermine people kwa vitu usingepeñda ufanyiwe. Mfyuuuuu- Umejuaje yote haya na wewe ni mtoto wa kiume au uliwahi kumpa?
le Mutuz Superbrand
kwa lipi hasa mkuuHivi nchi inakosa kutoa hata prado jamani ?
Basila has done it, kamkuwadie rafiki yako akulipie harusi, don't try to undermine people kwa vitu usingepeñda ufanyiwe. Mfyuuuuu
Daihatsu terios kid 650 cubic centimetres... Cami ni gari kubwa kidogo arifffToyota Cami
ama kweli vyuma vimekaza
AIBU SANA SANA!!!!!!!!Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.
Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....
KAMA KWELI NDIYO HIYO GARI KAPEWA MISS TANZANIA 2018,NI AIBU KWA WAANDAAJI !!!!Hili gari nimeona huko mitandaoni wanaliponda sana. Eti Hadi Le Mutuz naye. Nimecheka mno.
Wangewapa vipodozi ili waimarishe urembo wao ingependeza zaidi[emoji1]Hivi zawadi lazima liwe gari tu hawawezi kuwapa hata mattress au jiko la kutumia gas?
Kwamba huyu ndo yule naniii anayetumika kunanii ?😂😂 akikujibu niite W. J. Malecela- Ameji undermine mwenyewe kwa akili ndogo, unapiganaje na wakala wako na brand ni yako mwenyewe? Niliwahi kukukuwadia wewe ndio maana unayajua, wewe ni mjinga tu hata utumie majina ya bandia ni mjinga ndio maana Serukamba alikuacha baada ya kukutumia sana kuitukana serikali ya sasa, hahahahahaha Harusi yangu inakuhusu nini? Jembe alikua rafiki yako na wa kaka yako aliwahi kukulipia harusi yako?
- UMEYATAKA MWENYEWE USILIE SASA JIPANGE UPYA
le Mutuz Superbrand