Hii Ndiyo Arabuni...!!!

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
4,741
Reaction score
3,035
_*After Asia Cup win, Emir of the State of Qatar awards every player of the National Team the following:*_

➡Apartment in London for every player in the Qatari team

➡Jeep Model 2019

➡($2.7m) QR 10 million for each player in the team

➡Lunch next Friday at the Diwan Prince with Emir Tamim
 
Qatar wana haki ya kufurahia lakini UAE ni nchi ya Kiarabu ambayo ina uwezo wa kutengeneza silaha zake yenyewe kitu ambacbo Qatar haiwezi.

UAE ni warabu wenye akili sana kuliko waarabu wote ukitoa Wamisri na wayemen.UAE inauwezo wa kurusha Satelite angani bila msaada wa nchi yeyote ile.
 
Nilishawahi kuongea hili, na ninasisitiza, uwe mwafrica, uwe mchina, uwe mu iran, uwe mrusi. Ni ndoto yao kubwa kuishi ulaya au marekani, na hapo zawadi kubwa ambayo kawapa ni hizo apartmen hapo london. Tukiacha unazi hakuna binadam ambaye hahusudu maisha ya kimagharibi. Over
 
Kuna kitu nilitaka nikujibu ila nahis Ban itanihusu. Wacha niufyate tu
Kuwa mtulivu ni bure!!
Kuwa mpole ni Uungwana!!
Kuwa mkweli ni ustaarabu!!
Kuwa mwema ni ushujaa!!
Kuwa hodari ni Ubingwa!!!
Naomba umeme mie nipate Thawabu na nikupe dhambi zangu !!
 
Mmmmh!! Mkuu siyo lazima tufutike wote.. tubadilike tu !! Wenzetu wameweza nasi tutaweza!!
Hapana, kuweza si maneno na mipango makaratasi.
Actions speak louder than words!
We dont take actions to our words.
We are dilly dallying and shilly shallying on earth.
Perhaps this generation is cursed as it has all the options on the table. Non of them are in practice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be blessed .. excellent comment!!
 
Kwa heshima zote na Taadhima!!
Utu ni kitu !!!
 

Binafsi waarabu wenye roho nzuri in the gulf countries ni OMAN. hakuna vita, wezi,ujambazi wala uhalifu wa aina yoyote. watu wake ni wakarimu mno, ni nchi ambayo Mtume Muhammad SAW ameiombea dua, na ndio mana hadi leo hii nchi ya OMAN imetulia, Amani tele kuliko nchi yoyote ile, vilevile inaheshimu immigrants, dini za watu, madhehebu.nilipata bahati kwenda huko nimejionea hawa waarabu Mungu amewabariki mnoo sijapata kuona.raia wa kule mkipishana lazima akupungie mkono/kukusalimia, au uwe unasubili teksi anastopu anakupakia.


Na sisi huku tunapaswa kuiga tabia zao, na sio kuwekeana chuki baina yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…