Hii ndiyo Clouds FM bwana

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.
 
Dah wanamuonea sana 1.5 utaishi vp hapa mjini na familia .wangemfikiria tena kwa kweli
 
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.

Wacha ujinga wewe Wafu Fm hakuna anayezifi mshahara wa shilling laki tano kwa mwezi.
 
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.

usitudanganye we mdada milion1.5 subutuuuuuuuuu uliza uambiwe kuna watu pale wana pewa laki 2 kwa mwezi na niwazamani.
 
Seba Maganga ambaye ni program manager analipwa 620,000 itakuwaje huyo mbwiga amzidi bosi wake mshahara?
 
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.

Sijawahi ona demu anayeshoboka kama wewe Radhia. Halafu inaelekea hata mashemeji wa wenzako unawachukua. Wewe ni kinyonga aka ngano. Kama kuna aliyekuoa,ana hasara.
 
who are u pale clouds fm?Hr manager au?na kuna mtu kakuuliza?
 
Huyu mdada na hiyo radio yake si bure,au rugay anakaonja,mbwiga tupo nae kitaa kila siku anaomba bia,wewe vpi?
 
Ruge anachofanya ni kuwapa fursa za kula rushwa kutoka kwa wasanii wachanga tu wengine pale ukiambiwa wanaishi kwa rushwa mjini huwezi amini
 
Kweli ukipenda huoni!Yaani Mbwiga akachukue mshahara M 1.5 kwa kuropoka story za uongo na kweli huku B dozen akiishi kwa kutapeli wasanii wanaotaka kushiriki Fiesta!!!
Kama ni hivyo basi Zamaradi Mutahaba anapata hela nyingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…