Hii ndiyo Clouds FM bwana

Nilisikia watangazaji pale wanapewa laki nne nne.
 
Kweli ukipenda huoni!Yaani Mbwiga akachukue mshahara M 1.5 kwa kuropoka story za uongo na kweli huku B dozen akiishi kwa kutapeli wasanii wanaotaka kushiriki Fiesta!!!
Kama ni hivyo basi Zamaradi Mutahaba anapata hela nyingi zaidi.

hahahaaaaa.. the name suits big tym
 
Kweli ukipenda huoni!Yaani Mbwiga akachukue mshahara M 1.5 kwa kuropoka story za uongo na kweli huku B dozen akiishi kwa kutapeli wasanii wanaotaka kushiriki Fiesta!!!
Kama ni hivyo basi Zamaradi Mutahaba anapata hela nyingi zaidi.

Hahah eti Zamaradi Mutahaba.
 
msikilizaji tu

Msikilizaji tuu au nyumba ndogo ya ruge? Huwezi kuwa msikilizaji kisha ukaja hapa na mishahara ya wafanyakazi wa malaya wako ruge. Kuwa makini zamaradi akijuwa anazaa na wewe kupitia twitter na instagram.

Clouds fm radio ya wafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.

Ndivyo mlidanganyana wakati mbatongozana? wangekua wanapokea hata m tu wasingekua wanaenda kazini na daladala bajaj au bodaboda. Mia
 
Naomba CV ya mbwiga tafwadhali, ifike mezani kwangu kabla ya jogoo kuwika
 
Hakuna mshahara huo hapo Clouds, Mbwiga hata kuchambua magazeti kumemshinda,hana kipindi pale anadandia dandia tu, ameku-Yahaya huyo.

Body without head
 
Uyu dada si bure kila siku wewe na clous tu..huna kazi
 
Mbwiga wa Mbwiguke ndiye anayepokia hela ndogo kuliko watangazaji wote. Unajua anakula mtonyo gani? Milioni moja na nusu babake.

Mh! Naona utakuwa umeelewa vibaya pengine huo mshahara ni kwa mwaka mzimah anapokea hvyo!
Pia kitu kingine media nyingi za tanzania zina ajir watu wa ngaz ya cheti na diploma ili wawalipe mshahara mdogo! Sasa hapo clouds wengi wao wana ngaz ya cheti en diplma, digrii wa kutafta na wote wanalipwa kulingana na Elimu! Sasa huyu sijui Bwiga ana nini mmh si ujanja janja wa watu wa Pwani tuh! Nah research Nah right to speak!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…