ibra blogger
Member
- Jan 19, 2018
- 13
- 22
Nini maana ya kansa ya ngozi?
Hii ni uharibifu wa ngozi unaotokea katika seli ya ngozi na kukufanya uweze kusikia maumivu makali sana, ugonjwa huu hutokea kwasababu mbalimbali kama zifuatazo;
1.Kukaa juani kwa muda mrefu- hii hufanya miale ya jua kisasyansi tunaita ultraviolent rays kupeneya katika ngozi yako na kuua seli zakocmiale hii huwaathiri hasa watu wenye albinism, macho ya bluu na nywele nyekundu.
Miale hii tunaweza kuipata hasa tutakapokaa maeneo yenye ikweta kama Uganda na Kenya.
2.Kua na kinga hafifu ya mwili-hii hutokea pale unapokua na magonjwa hatari kama UKIMWI hii hufanya kinga yako kua hafifu mno na kupelekea kushindwa kuzuia miale ya jua pindi inapo ingia katika mwli wako.
3.Kupiga X-RAYS mara kwa mara.
4.Pia wazee wagonjwa wanahatari ya kupata ugonjwa huu.
DALILI ZA MTU MWENYE UGONJWA HUU.
(a)Ngozi kuuma mara kwa mara
(b)Kutokwa na damu kwenye ngozi.
(c)Ngozi kuvimba na kua ngumu.
ZIFUATAZO NI KINGA ZA KANSA YA NGOZI.
1.Epuka kukaa juani hasa kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa11
2.Vaa miwani yaani sun glasses
3.Chagua lotion/au mafuta ya kujipaka yanayozuia mwanga wa jua.
4.Tembelea daktari kama tatizo lako likizidi.