SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 95
- 61
Putin mwenyewe anawasubiri wajichanganye zaidi maana wana kiherehere kingi!Zelensky mara kwa mara amekua akijaribu kuchomoa battery sema Urusi wanawahi kuzuia shoti... Siku Urusi ikashindwa kuzuia mashambulizi yanayoelekezwa kwenye mitambo ya nuclear ndio siku NATO watamkana zelensky na kujifanya hawapo nae.
Uingereza wanachochea tu ila hali ikiwa mbaya watakula kona
HIyo sio habari bali unatangaza blog yako.Trump anataka ushindi katika vita ambayo 'hapigani' na Putin anataka ushindi dhidi ya 'dunia nzima'. Na kila mtu yuko tayari kufanya lolote kuhakikisha anashinda. Hili linaleta hatari ya vita nyingine kubwa zaidi duniani endapo mmoja atakosea hesabu za namna ya kuupata ushindi anaoutaka.
Na kwa hulka zao ni ngumu kutabiri matokeo ya maamuzi yao lakini kwa hakika kuna hatari ipo inainyemelea dunia na viongozi hawa wanapaswa kupiga vizuri hesabu zao.
Soma zaidi hapa>>>
HII NDIO HATARI KAMILI KATIKA VITA HUKO UKRAINE. VITA YA TATU YA DUNIA AU VITA VYA NYUKLIA
kielelezo.blogspot.com
Ni kufutwa kwa Ukraine.Zeleboy nahisi hajui athari za kushambulia vinu vya kiNyuklia vya Russia! Hebu fikiria pap shambulizi ka lile la juzi likaua raia wa Kirusi kwa mionzi angalau 50000 tu. Nini kutatokea kwao?
Oooh sawaHIyo sio habari bali unatangaza blog yako.
Ataona. Kwamba wewe mtazamo wako ni upiAlichoandika kwenye blog inaonyesha hajavijua hivi vita vizuri