Hii ndiyo iliyowafukuza chuo wanafunzi 48 na kuwasimamisha wanafunzi 4 UDSM

MESAYA

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
55
Reaction score
52
Fungua waraka huu upate undani wa kilichowafukuza chuo wanafunzi 48 na kusimamisha wanafunzi 4 UDSM.
 
Poleni sana vijana na hii ndo inaonesha ni jinsi gani uonevu ulivyomkubwa vyuoni kwa ss tuliopita huko vyuoni kila mwaka ukiisha unashukuru Mungu na huo uongozi wa chuo unajulikana kwa ukandamizi. VC alikuwa Luhanga ambaye ni mpole na anafanya maamuzi kwa kufikilia kweli he's a real Eng.
 
kaka tuanikie wengne tunatumia simu.
 
nimejaribu kuwarahisishia mnaotumia simu zenu za kichina



 
Hadi kufikia 2015 tutakapopata rais mwingine mwenye akili kidogo, damu za wananchi wengi sana wasio na hatia zitamwagika. Mungu wasaidie hawa vijana warudi kuendelea na masomo yao na uwaepushe na hasira za wanadamu zisizo na busara.
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…