Hii ndiyo inadhihirisha kuwa pale wenye akili ni wawili tu

Ila huyu mbaba anatudhalilisha kweli wana yanga dah,yaani anachokiongea leo usipate tabu ya kumjibu we mpe muda tu ....huyu ni wakumfukuza
Anajijibu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili tatizo limeanza sikunyingi ina maana wamiliki ndio imewqahinda kutatua na wanabembeleza watu wapakue iyo app yao kila siku.
Mimi mwenyewe nakerekwa sana na hilo tatizo aiseeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…