Tumia web browserSimu yangu sijui kwanini inashindwa kufungua hizo attachment
Ameharibu yake mwenyewe sisi hatuna shidaIla huyo mwehu anaharibu Taswira ya Yanga.. haya maneno yanaishi hayatafutika kamwe. Mumfunge spidi gavana ya mdomo.
Shida bado iko palepale sisi tutawabeza tuu na kombe lenu la loserAmeharibu yake mwenyewe sisi hatuna shida
[emoji23][emoji23] umenusurika huko kwa ihefu leo ungelala mapema saanaShida bado iko palepale sisi tutawabeza tuu na kombe lenu la loser
Level ya Simba ni sawa ihefu?Kumbe ushindi wa goli 1 ni kunusurika!!!basi nanyi mmenusurika mmetoka kunusurika,
Hahaaa ningepotea mwezi mzima 😀 😀[emoji23][emoji23] umenusurika huko kwa ihefu leo ungelala mapema saana