kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Oneni hapo[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]mtandao wahovyo duniani ndo huu sasa 450kbps na hapo ni 4G na hapo natumia simu kali kabisa ya kimarekani maana watu hawakawii kusema labda shida ni simu.
Internet speed ya kobe network ni 4G nilipo ni mjini Dar es Salaam kabisa tulipo na mnara wa halotel ni mita kama 400 tu hivi lakini oneni huu uhuni[emoji1313][emoji1313]
Hawa ni wa kufungwa kabisa kwa utapeli huu maana huku kuuhadaa umma kuwa wana 4G kumbe uhalisia na G au E.
Yaani TCRA wangekua na akili za kukagua hii mitandao kwenye speed wengi wangeumbuka maana tunaambiwa ni 4G na 5G kumbe unakuta ni mitambo ya 2G inawashwa wanabadili tu majina wanaandika 4G au 5G
Sasa 450kbs nafanyia nini?? Star link waje tu nimechoka na huu upuusi!