Hii ndiyo maana halisi ya gari kuitwa Baby Walker linabebwa na watu wanne tu

Hii ndiyo maana halisi ya gari kuitwa Baby Walker linabebwa na watu wanne tu

fredo fred

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
748
Reaction score
1,615
Hii ndo maana halisi ya gari kuitwa baby walker kanabebwa na watu wanne tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Nissan juke
 
Attachments

  • instagram_video_1636270598841.mp4
    6.8 MB
Unauhakika ilikuwa na engine? Mwambie mheshimiwa judge kwamba gari ilikuwa na engine
 
Unauhakika ilikuwa na engine? Mwambie mheshimiwa judge kwamba gari ilikuwa na engine
Hiyo gari haina engine kweli mkuu. Kwanza hao watu kwa jinsi walivyoshika na sehemu walizoshika haiwezekani kunyanyua hiyo gari kama ina engine. Labda wasukume sio kuibeba.
 
Back
Top Bottom