Achaneni na maswala ya bandari sijui SGR, sijui nini.
Hii ndiyo mali ya Watanzania wanayopaswa kuipigania.
Ndiyo maana wakati wengine tunamaliza bundle mitandaoni kufuatilia bunge likipitisha mkataba, upande mwingine wananchi wala hata hawakuwa na habari ya kinachoendelea huko bungeni, wenyewe walikua busy na timu yao inayowapa Raha huku wengine wakawa busy na bunge lao linalowaliza.
By the way hongera sana kwa bunge.
Timu ya Wananchiiii...ilipotaka kuuzwa hii, wauzaji hadi wanunuzi waliuona moto wake.