Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ni chai... ingekua damu inazuiwa basi uume usingesimama
 
Sikilizeni wajukuu zangu, sisi mababu zetu hivyo vitu tumevitumia toka enzi kwa enzi ndio maana mpaka leo vipo na vitaendelea kuwepo.

Hata wamasai hizo dawa wanazo subiri niwape somo.

1. Mkongo haongezi nguvu za kiume kama unamatatizo ya nguvu za kiume mkongo sio suluhisho lake, mkongo unakufanya uchelewe kufika kilele tu ukitegemea nguvu zako za asili ulizonazo.

2. Mwanaume lazima utambue ili uendelee kuwa na uwezo wako mzuri katika yakupasa ufanye service wa mwili wako kwa kula vizuri kufanya mazoezi na kutumia miti ya asili kudumisha uwezo huo, miti kama mkuyati na dawa nyingi za kimasai pia na miti mengineyo ndio maana ipo duniani kwa ajili hiyo.

Mwisho kijana usione aibu kujiweka sawa kimwili hata gari kabla ya safari lazima ulifanyoe service na kwa mwili ni hivyo hivyo.

Ahsanteni wa jukuu zangu.
Babu yenu Jandu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…