Hii ndiyo njia rahisi ya kupata wateja zaidi wa biashara yako kupitia mtandaoni

REM GROUP

Member
Joined
Feb 21, 2022
Posts
94
Reaction score
23
Je, umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado faida za kuwa na website? Basi makala hii itakupasha faida haswa ya kuwa na website kwa namna ambayo pengine hujawahi kufikiria.

Hakuna wakati ambao website ni ya muhimu kama wakati ambapo tupo katika zama za utandawazi. Yawezekana ukajiona kuwa unachofanya ni kidogo hivyo hauhitaji website, hata hivyo kuna mengi utakua unakosa kwa kutokujikita katika kuwa na website kwa biashara au asasi yako.

Kukipa thamani ufanyacho
Imekua kawaida watu wengi kuamini kuwa biashara au asasi yenye website basi itakua makini . Hata hivyo sio tuu website ili mradi website. Unatakiwa uwe na website ambayo kweli inaonyesha umakini na ubora wa asasi au biashara yako hii inajumuisha website yenye muonekano mzuri, yenye maelezo yaliyokamilika, yenye taarifa ambazo kweli.

Kuleta ushawishi
Unahitaji website ili kuweza kujenga uaminifu na kuonekana kweli upo serious. Website yako itakupa nafasi ya kuwaeleza watu kwa umakini na kwa ushawishi kile unachofanya na kwanini wakutafute wewe. Tena website itakusaidia kufanya ushawishi huu kwa watu wengi sana kuliko kuwa tuu na vipeperushi ambavyo utasambaza kwa watu wachache.

Kuelezea Ufanyacho
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.

Kupatikana wakati masaa 24 siku 7 za wiki
Ofisi yako hufungwa, duka lako hufungwa, lakini website yaweza kupatikana masaa 24 siku 7 za wiki. Hivyo kuwa na website ni fursa kwako kuwafaikia walengwa wako masaa yote kila siku.

Kuwasiliana na kuwaelimisha wateja
Kwa kutumia blog itakayoambatana na website yako utaweza kuwapatia wateja wako na wale wateja watarajiwa Makala ambazo zitawaelimisha na kuwavuta karibu na wewe. Pia ni nafasi yako ya kuwapa updates kuhusu bidhaa mpya unazotaka kutoa au mabadiliko mengine ya kiutendaji , kimarketing na sera za biashara au asasi yako.

Kuwa na email address binafsi
Website itakufanya uweze kuwa na email address inayotaja jina la biashara yako. Haipendezi na haionekani kuwa “professional” pale unapohitajika kutaja email address yako halafu ukatumia email yenye domain ya makampuni makubwa kama gmail, yahoo au Hotmail. Kama kampuni yako ni ABC Limited, basi ni vema ukasema jinalako@abc.com au jinalako@abc.co.tz

Kwa wewe unayetaka kuwa na website inayokunufaisha tuwasiliane kwa:

0652416926/SMS/WhatsApp and calls
 
hakuna njia rahisi isiyohitaji hela na uwekezaji, tuambie ukweli tu
Ukweli ni kwamba katika biashara yoyote lazima uwe umefanya uwekezaji,na uwekezaji huo haumaanishi tu ni hela au pesa, kama unavozungumza. Mfano yanaweza yakawa ni mazao, unapokua na website yako itatambulisha bidhaa zako kiurahisi na kuwafikia watu wengi zaidi kutokana na website imekuwa ni njia moja wapo ya kukuza bland ya biashara nyingi sana kimasoko hapa duniani vilevile website itakupa kuaminika na kutambulika kwa biashara yako kwa wateja mbalimbali na watumiaji wengi wa mitandao.
Twende kidigitali+biashara kidigitali+tukukuze uchumi kidigitali
 
Nilijua tu hili ni tangazo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Je, umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado faida za kuwa na website? Basi makala hii itakupasha faida haswa ya kuwa na website kwa namna ambayo pengine hujawahi kufikiria.

Hakuna wakati ambao website ni ya muhimu kama wakati ambapo tupo katika zama za utandawazi. Yawezekana ukajiona kuwa unachofanya ni kidogo hivyo hauhitaji website, hata hivyo kuna mengi utakua unakosa kwa kutokujikita katika kuwa na website kwa biashara au asasi yako.

Kukipa thamani ufanyacho
Imekua kawaida watu wengi kuamini kuwa biashara au asasi yenye website basi itakua makini . Hata hivyo sio tuu website ili mradi website. Unatakiwa uwe na website ambayo kweli inaonyesha umakini na ubora wa asasi au biashara yako hii inajumuisha website yenye muonekano mzuri, yenye maelezo yaliyokamilika, yenye taarifa ambazo kweli.

Kuleta ushawishi
Unahitaji website ili kuweza kujenga uaminifu na kuonekana kweli upo serious. Website yako itakupa nafasi ya kuwaeleza watu kwa umakini na kwa ushawishi kile unachofanya na kwanini wakutafute wewe. Tena website itakusaidia kufanya ushawishi huu kwa watu wengi sana kuliko kuwa tuu na vipeperushi ambavyo utasambaza kwa watu wachache.

Kuelezea Ufanyacho
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.

Kupatikana wakati masaa 24 siku 7 za wiki
Ofisi yako hufungwa, duka lako hufungwa, lakini website yaweza kupatikana masaa 24 siku 7 za wiki. Hivyo kuwa na website ni fursa kwako kuwafaikia walengwa wako masaa yote kila siku.

Kuwasiliana na kuwaelimisha wateja
Kwa kutumia blog itakayoambatana na website yako utaweza kuwapatia wateja wako na wale wateja watarajiwa Makala ambazo zitawaelimisha na kuwavuta karibu na wewe. Pia ni nafasi yako ya kuwapa updates kuhusu bidhaa mpya unazotaka kutoa au mabadiliko mengine ya kiutendaji , kimarketing na sera za biashara au asasi yako.

Kuwa na email address binafsi
Website itakufanya uweze kuwa na email address inayotaja jina la biashara yako. Haipendezi na haionekani kuwa “professional” pale unapohitajika kutaja email address yako halafu ukatumia email yenye domain ya makampuni makubwa kama gmail, yahoo au Hotmail. Kama kampuni yako ni ABC Limited, basi ni vema ukasema jinalako@abc.com au jinalako@abc.co.tz

Kwa wewe unayetaka kuwa na website inayokunufaisha tuwasiliane kwa:

0621454246/SMS/WhatsApp and calls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…