Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Black hole [emoji23][emoji23][emoji23] u can't be serious brother/sister/mother/father may u plz go find more education on black holes.
How do you relate black holes na kuzama kwa meli kwenye zone ya Bermuda triangle




Guys msijibu things u have no understanding of

A black hole is a region of spacetime exhibiting such strong gravitational effects that nothing—not even particles and electromagnetic radiation such as light—can escape from inside it. Wikipedia
 
Kwa hiyo ukishuka pale north pole unaingia nchi mpya ?
Au ndiyo wanaita kuzimu ?
 
Tusaidie basi tuelewe kama alivyoandika kiswahili na maelezo kadhaa
 

Maranyigi sana wajinga hukimbilia kukejeli kwa sabubu wataalamu husema elimu ndogo ni mzigo na hizo elimu za wikpedia zifanyie utafiti ili ufaidike sio kukurupuka hebu ingia google au utube tafuta balack hole underwater power of nature halafu uje tena na kicheko chako
 

Wewe mwenye shule ya wikpedia ingia hapa uone black hole baharini nafikiri utakenua meno vzr
 

Attachments

Wewe mwenye shule ya wikpedia ingia hapa uone black hole baharini nafikiri utakenua meno vzr
Naonaga kama watu hua wanajibu kwa hisia sana kuliko kutumia akili na hekima, sasa sjui wao ndo wanataka wjulikane wamesoma sana au ndo wanajua sana kuliko wengine ..
 
True fact
 
Naonaga kama watu hua wanajibu kwa hisia sana kuliko kutumia akili na hekima, sasa sjui wao ndo wanataka wjulikane wamesoma sana au ndo wanajua sana kuliko wengine ..
Maranyigi wasomi huwa wanatulia wanapokutana na critical issues, ila sisi wenye elimu ya kugoogle tukisha google tunakurupuka bila kufanya utafiti zaidi kwa kile tunacho google
 
Swali langu kuna ulazima gani wa meli ama ndege kupita hapo kama wanajua ni sehemu hatarishi ?

Ninavyo fahamu uongozaji wa vyombo vya baharini na angani huwa wakiongozwa na njia zilizoandaliwa na wataalamu huziita (course) hizi zimekwisha kuwa ploted ktk ramani kwa digree kadha na upande kadha kwa kwenda sehemu kadha, kwa msaada wa compass au GPS sas panapotokea halimbaya ya mchafuko wa hewa ndipo pilot au captain hutengeneza njia ya muda (temporary course)kuikimbia hali ile sasa hutegemea machafuko hayo yamemkuta eneo lipi wakati mwingine huwa ni hali ngumu sana kukigeuza chombo chako ktk temporary course kufuatana na ukizani wa hali ya hewa, ila hapo bermuda sio kila wakati ni hatari hapana hupitka tu tenashwari, wakati hali ya hewa ni shwari,
 
Kwa hiyo ukishuka pale north pole unaingia nchi mpya ?
Au ndiyo wanaita kuzimu ?
Unapoingia katika tundu la North pole, haina maana kuwa ni tundu kama la chupa ukiingia huwezi kutoka. Kufuatana na force of gravity, tundu ni pana sana, ambapo chombo kama vile engine boat kinaweza kuingia bila ya kuporomoka kwenda chini. Na vile vile chombo kinaweza kusafiri kutoka chini kurudi huu nje ya North pole bila kuona tofauti. Maji yako kawaida, tofauti ni kuwa nchi hiyo lko tofauti kabisa na sehemu tunayoishi kwa sababu unapoingia sehemu hiyo unakuwa umeingia katika dimension tofauti na tunayoishi. Sehemu hiyo sio kuzimu, Lakini wanaishi Demons au malaika waliofukuzwa Mbinguni au viumbe hybrid ya aliens na wanaadamu . Richard Byrd, askari rubani wa jeshi la Amerika aliingia katika North pole na alisafiri kwa masaa zaidi ya sita na kufika sehemu hiyo, Lakini alidhibitiwa na vifaa tofauti vilivyo vya duara (UFO). Alishikiliwa katika mji mkubwa wenye teknologia ya juu sana, na watu wa kule ni watu walikuwa na lafudhi ya kijerumani, na Celtic. Pia aliona alama za NAZI,(swastica). Baada ya muda aliongzwa kurudi alikotoka akiwa salama Lakini hakuweza kueleza zaidi habari za nchi ile.
 
Kichwa changu Kigumu
Ila nitajitahidi kuelewa.
 

Bila shaka kwa maelezo hayo Richard byrd alikuwa na celebre marelia,
Maswali mengi ya kuuliza swali kuu huko mbinguni walifukuzwa kwa kosa gani?
Tunavyo amini malaika wote ni watiifu
 
Bila shaka kwa maelezo hayo Richard byrd alikuwa na celebre marelia,
Maswali mengi ya kuuliza swali kuu huko mbinguni walifukuzwa kwa kosa gani?
Tunavyo amini malaika wote ni watiifu
Hilo lisikushangaze ndugu. Kumbuka ile vita iliyotokea Mbinguni hata kufikia Lucifer kufukuzwa mbinguni ,alitupwa duniani pamoja na theluthi ya malaika. Hao malaika waliofukuzwa ndio hao wanaishi chini ya dunia.
 
Hilo lisikushangaze ndugu. Kumbuka ile vita iliyotokea Mbinguni hata kufikia Lucifer kufukuzwa mbinguni ,alitupwa duniani pamoja na theluthi ya malaika. Hao malaika waliofukuzwa ndio hao wanaishi chini ya dunia.

Brother hizo ni paukwa pakawa hadithi za kufikirika mbiguni hakuwezi kutokea vita hata siku moja, futa kabisa akilini mwako, waligombea ni utawala, biashara, umiliki, utajiri au wanawake? kinachotia utata watowaji wa hekaya hizo wanadhania malaika wanaishi kama binaadam,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…