crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Hii ndio picha halisi tofauti na inayosambazwa na member ami.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio picha halisi tofauti na inayosambazwa na member ami.
HiiIkwapi?
Nchi imebaki mikononi mwa?
Haikupi unafuu wa kipigo wanachopokea Warusi kule Ukraine.Ngoma imekuwa ngumu uwanja wa vita mpaka mnakimbilia kujifariji na vipicha vya kueditiwa tena na watoto wa form four.
Picha halisi ni hii..... propaganda zao zimeshafeli, wavumilie tu kipigo kipo pale pale ..mkono alipo ushusha chini angle ya camera ilikua nyuma ya mkono. mkono ulikua unaendelea kushuka ili kukaa sehem yake ya kawaida camera iliunasa mkono ulipo fika eneo la tako lakini ulikua unaendelea na safar.
kwa angle iliyopo camera huwez kuaminisha umma kua ulikua na lengo la mpapaso sehem ya tako
VAR ingepeleka angle zote. tungejua.
watu wenye akili za kishetani walipoz camera eneo hilo ( labda kungekua na video yake)
pili. suruali ingeguswa kungekua na manadiliko katika eneo husika lakini badala yake suruali ilikaa vile vile kama ambavyo ilikaa pindi mkono wa biden ulipokua mgongon mwa zelensky
so picha pekee haitoshi.
acheni mawazo ya kishoga vijana.
Vice versa is true Nyamizi ukweli unaujua mpaka kakimbilia kwa shoga mkuu kuomba machuma chuma ys HollywoodHaikupi unafuu wa kipigo wanachopokea Warusi kule Ukraine.Ngoma imekuwa ngumu uwanja wa vita mpaka mnakimbilia kujifariji na vipicha vya kueditiwa tena na watoto wa form four.
Picha halisi ni hii..... propaganda zao zimeshafeli, wavumilie tu kipigo kipo pale pale ..
Ile nyengine hujaweka.Kwa hivyo hujasema chochote,
Hii Picha Ni Sahihi. Mtu ameiotea wakati Biden anashusha Mkono.