Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Amemanishaa wasomi@waliopita chuoNa kwanini uwe na mpenzi mwanachuo? Waache watoto wa watu wasome..!
Unakuatana nayo unakuja kujidai huku eti umepiga Pisi kali.....LaanaturahSawa acha sisi tuishi nao
Daah yaani wanachuo mara wakamatwe wa ajiuza mara wanafanyiwa mambo ya Firauni....kuliwa mitungo ndio ishakuwa kama fashion😫😫😫😫tatizo hakuchukua ka video bhana angerecord ata audio wakati anagugumia maumivu..
Kusoma wamesoma lakini matendo yao?Na kwanini uwe na mpenzi mwanachuo? Waache watoto wa watu wasome..!
Ujinga tuMnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea.
Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi.
Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure ila sio hawa wake za vigogo.
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea.

Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure ila sio hawa wake za vigo