Hii Ndiyo Simba SC app,pakuwa uifurahie

Hii Ndiyo Simba SC app,pakuwa uifurahie

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2017-09-03-14-19-51.png
Baada Klabu ya Simba ya kuzindua rasmi [HASHTAG]#App[/HASHTAG] yake ambayo inapatikana katika [HASHTAG]#PlayStore[/HASHTAG]. Watumiaji wa App hiyo wameridhishwa na matumizi ya App hiyo.

App hiyo imekuwa inatoa taarifa mbalimbali kuhusiana na timu hiyo. Updates za mechi,mahojiano ya makocha,wachezaji,viongozi na mashabiki wa timu hiyo.

Simba imekuwa club inayofuatiliwa zaidi Afrika mashariki na kati kutokana na kiwango chake cha soka na maandalizi makubwa ya mechi zake kimataifa
 
View attachment 580869 Baada Klabu ya Simba ya kuzindua rasmi [HASHTAG]#App[/HASHTAG] yake ambayo inapatikana katika [HASHTAG]#PlayStore[/HASHTAG]. Watumiaji wa App hiyo wameridhishwa na matumizi ya App hiyo.

e2abb74708e551aa21d2550d102c0488.jpg
Halafu kuna sifa moja kwenye App hiyo hukuiweka nayo ni kuamini sana ushirikina kila mnapocheza na Yanga kama picha hii inavyoenesha Wachezaji wakiwa wamekalishwa chini kwa mchawi wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa jambo jema sana
 
Ushabiki wa kipumbavu huo.
Kila muda mnawaza uchawi tu utaendeleaje kwe mpira kwa akili fupi hivyó.
Tubadilike bhna! Nshavurugwa tayari.
 
Back
Top Bottom