Hii ndiyo sindano inayozua gumzo kwa wachomwaji wa kinga dhidi ya corona.

Status
Not open for further replies.
You made my day man,πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Wabongo sijuhi Nani katuloga jamani mbona tuna mawazo MGANDO sana
Hapo hakuna uongo wowote
Siyo bongo tu hata wamarekani zilipotoka hii vaccine ya kampuni ya jonhnson&johnson, wamegoma kudungwa. Na sasa Biden kaingilia kati eti kila atakayekubali atapewa dolar 100, swali la kujiuliza ni kwa nn wagome wakati ni kwa ajili ya kujikinga dhidi ya corona??? Kwa sasa binadamu wana njia/vyanzo tofauti za kupata taarifa hasa zinazohusu uhai na si kutoka katika serikali tu....
 
Inshu ni rahisi sana,kama hutaki kuchanjwa kaa kimya acha kupotosha umma..! Hivi mzungu akitaka kutuumiza anatukosa wapi? Yaani wewe umeshiba magimbi yako unakaa unasema eti wazungu hawana nia njema! Nosense!
Ndo kama hivi sasa unaumizwa, na vizazi vyako vijavyo
 
Du, haya mambo ni kuwa makini sana, kama wataalamu wakubwa waliopo huko kwenye maabara wanajaji kuhusu hiyo kinga basi kuna walakini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…