Hii ndiyo tiba kwa tatizo la kutopata choo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naskia kuna watu wana tatizo la kupata choo,

Dawa: juice ya vitunguu swaumu nusu lita
Muda: Asubuhi kabla hujanywa kitu chochote ukae nusu saa ndo ule kitu kingine
Matokeo: dakika kumi
Nilijuaje: Kwenye group letu la kupunguza vitambi tuliambiwa tunywe tukinywa wote baada ya dakika kumi lazima ukapupuwe.

Kwa wale wenye shida ongezeeni hii kwenye tiba zenu
 
Nusu lita???[emoji15] [emoji15] mbona nyingi sana, hebu dadavua punje ngapi unasaga???
 
Unapata choo cha kawaida au unaharisha?
 
hii hata kwa mjamzito jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…