Hii ndiyo tofauti pekee, kubwa na iliyotukuka kabisa kati ya Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki za Uganda na Kenya

Unatuongezea machungu mkuu...
 
Genta mbona unahasira sana mdogo wangu, sie yetu mapenzi ndo twajua kuchambua vile viuongo hadi mwisho wake

Nchi Kubwa halafu haina mikakati wala kipaumbele lakini majirani zetu kila uchao wanatuacha tu huku wakizidi kutushangaa pia.
 
Hivi Waandaaji wa ' Olympic ' hawawezi wakaongeza Mchezo mpya wa ' Utekaji ' ili kila Msimu Tanzania tunyanyue tu Makwapa ( namaanisha tubebe Kombe? )
Mimi ikitokea tukaamua kuwapokea taifa starz pale airpot kwa viboko nitakuwa wa kwanza haya majaa yametuchosha ...

Bora iwepo michezo kama hiyo mkuu
 
Tanzania kufanikiwa kushiriki mashindano makubwa yoyote ni mpaka tuwe na kocha mzungu na TFF iache kuhujumu zoezi la ualikaji wa wachezaji pia upangaji wa nani acheze na nani asicheze.

MSISHANGAE KWANINI NIMESEMA KUFANIKIWA KWETU KUNAHITAJI KOCHA MZUNGU, KWA SABABU HATUJUI MPIRA KABISAAA SISI NI MANENO.
Senegal wana kocha mweusi na ana talented players sisi tanzania tuna kocha mweusi na ana timu ya hovyoo
 
Mimi Timu ikitua na nikipewa Kazi ya ' Kumteka ' Samatta kwakuwa hatufungii Taifa Stars kama wafanyavyo Washambuliaji wenzake wanaocheza nje kama Faruk Miya ( Uganda Cranes ) na Victor Wanyama ( Harambee Stars ) nitakuwa tayari kwani kusema ukweli naanza kutoona ' impact ' yake ndani ya Timu yetu ya Taifa tofauti na vile ninavyokuwa nikimuona akiwa Klabuni Kwake FC Genk huko Ubelgiji ( Belgium )
 
Au hayalipwiii mishahara yana mgomo baridii...lakini jaman kila siku ? Shubaaaamiiiiitiiii
 
Tanzania kufanikiwa kushiriki mashindano makubwa yoyote ni mpaka tuwe na kocha mzungu na TFF iache kuhujumu zoezi la ualikaji wa wachezaji pia upangaji wa nani acheze na nani asicheze.

MSISHANGAE KWANINI NIMESEMA KUFANIKIWA KWETU KUNAHITAJI KOCHA MZUNGU, KWA SABABU HATUJUI MPIRA KABISAAA SISI NI MANENO.
Senegal wana kocha mweusi na ana talented players sisi tanzania tuna kocha mweusi na ana timu ya hovyoo

au kama vipi turahisishe tu na tuwaamuru Wachezaji wetu wa Taifa Stars waoe Wazungu ili wawe na Viwango vya ' Kiulaya ' kabisa.
 
Uganda 3 Lesotho 0

Kenya 3 Ethiopia 0

Tanzania 0 Cape Verde 3

Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!

Nawasilisha.
Da ukweli Mchungu ngoja tuone hiyo Tarehe 16 keshokutwa itakuwaje.
 
Karibu rwanda

Mkuu wangu gentah

Bado niko hapa Kisiwani Kwangu Puerto Rico napambana kupata Nauli ya kurudi Kigali na Gisenyi nchini Kwetu Rwanda kisha nije nitembelee mara moja Collesium Hotel pale Oysterbay mida ya Saa 11 Alfajiri ili niungane na wengine kufanya Mazoezi katika ' Gym ' yao.
 
Au hayalipwiii mishahara yana mgomo baridii...lakini jaman kila siku ? Shubaaaamiiiiitiiii

' Michezaji ' yetu inalewa Sifa na kuwa na ' Mikogo ' mapema sana. Na kama kuna Mchezaji ambaye simpendi, sioni faida yake na sijui kwanini kila mara huwa anaitwa Kikosini Taifa Stars ni Thomas Ulimwengu. Kama kuna Wachezaji ambao pengine wanajua ' Kuroga ' ndiyo maana kila mara anaitwa Taifa Stars basi yawezekana akawa ni huyu au yawezekana pia hata Kuitwa Kwake hapo kuna Kiongozi wa TFF anakula 10% yake. Ni mchezaji mbovu na asiyejua mpira aliyepata kuwahi Kuichezea Taifa Stars.
 
Boraa haya majamaa hayakupandaa dege letu make hizi hasara zinatutesa sisi wachumia juani...kweli wanaachwa wachezaji wenye passion na uwezo wanaleta wauza suraa

Na sisi kweli aliyeturogaa ashakufaa na kaburi yawezekana washajenga ata ghorofa make kilichotufanya kusherekea sare sikupata maana ...
 
Hivi Kocha mwenye akili timamu kabisa anaweza kuthubutu kumuweka ' bench ' Beki mzoefu, katili na kiongozi kama Kelvin Yondan a.k.a Cotton na hata kutomwita Mshambuliaji ambaye Kiwango chake sasa kinarejea mahala pale Ibrahim Ajib a.k.a Bola a.k.a Mido? Huyu Ajib kutokana na maudambwidambwi / manjonjo yake ya kujua Kuchezea mpira kama anavyotaka angekuwepo pale mbele nina uhakika akina Samata, Msuva, Chilunda na Boko kila mara wangekuwa wanafurahi na kucheka tu na nyavu za Timu pinzani.

Kocha aondoke upesi!
 
Na kufanya mapenzi

Na hata Mapenzi yenyewe nayo hatuyajui vile vile ndiyo maana Mademu zetu ' wanakanyagwa ' na ' kushindiliwa ' kunakotukuka na akina ' Bandeko Nangai ' ( namaanisha Wakongo / zamani Wazaire ) ambao wanajua kuzishughulikia vizuri mno ' Mbunye ' za Wanawake wengi wa Kitanzania. Ukisema tunaweza Umbea, Majungu, Kurogana, Unafiki na Fitina kwa 100% nitakubaliana nawe kwani mifano yake ipo mingi tu.
 
Back
Top Bottom