GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uganda 3 Lesotho 0
Kenya 3 Ethiopia 0
Tanzania 0 Cape Verde 3
Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!
Nawasilisha.
Unatuongezea machungu mkuu...
Genta mbona unahasira sana mdogo wangu, sie yetu mapenzi ndo twajua kuchambua vile viuongo hadi mwisho wake
Mimi ikitokea tukaamua kuwapokea taifa starz pale airpot kwa viboko nitakuwa wa kwanza haya majaa yametuchosha ...Hivi Waandaaji wa ' Olympic ' hawawezi wakaongeza Mchezo mpya wa ' Utekaji ' ili kila Msimu Tanzania tunyanyue tu Makwapa ( namaanisha tubebe Kombe? )
Mimi ikitokea tukaamua kuwapokea taifa starz pale airpot kwa viboko nitakuwa wa kwanza haya majaa yametuchosha ...
Bora iwepo michezo kama hiyo mkuu
Au hayalipwiii mishahara yana mgomo baridii...lakini jaman kila siku ? ShubaaaamiiiiitiiiiMimi Timu ikitua na nikipewa Kazi ya ' Kumteka ' Samatta kwakuwa hatufungii Taifa Stars kama wafanyavyo Washambuliaji wenzake wanaocheza nje kama Faruk Miya ( Uganda Cranes ) na Victor Wanyama ( Harambee Stars ) nitakuwa tayari kwani kusema ukweli naanza kutoona ' impact ' yake ndani ya Timu yetu ya Taifa tofauti na vile ninavyokuwa nikimuona akiwa Klabuni Kwake FC Genk huko Ubelgiji ( Belgium )
Tanzania kufanikiwa kushiriki mashindano makubwa yoyote ni mpaka tuwe na kocha mzungu na TFF iache kuhujumu zoezi la ualikaji wa wachezaji pia upangaji wa nani acheze na nani asicheze.
MSISHANGAE KWANINI NIMESEMA KUFANIKIWA KWETU KUNAHITAJI KOCHA MZUNGU, KWA SABABU HATUJUI MPIRA KABISAAA SISI NI MANENO.
Senegal wana kocha mweusi na ana talented players sisi tanzania tuna kocha mweusi na ana timu ya hovyoo
Da ukweli Mchungu ngoja tuone hiyo Tarehe 16 keshokutwa itakuwaje.Uganda 3 Lesotho 0
Kenya 3 Ethiopia 0
Tanzania 0 Cape Verde 3
Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!
Nawasilisha.
Karibu rwanda
Mkuu wangu gentah
Au hayalipwiii mishahara yana mgomo baridii...lakini jaman kila siku ? Shubaaaamiiiiitiiii
Boraa haya majamaa hayakupandaa dege letu make hizi hasara zinatutesa sisi wachumia juani...kweli wanaachwa wachezaji wenye passion na uwezo wanaleta wauza suraa' Michezaji ' yetu inalewa Sifa na kuwa na ' Mikogo ' mapema sana. Na kama kuna Mchezaji ambaye simpendi, sioni faida yake na sijui kwanini kila mara huwa anaitwa Kikosini Taifa Stars ni Thomas Ulimwengu. Kama kuna Wachezaji ambao pengine wanajua ' Kuroga ' ndiyo maana kila mara anaitwa Taifa Stars basi yawezekana akawa ni huyu au yawezekana pia hata Kuitwa Kwake hapo kuna Kiongozi wa TFF anakula 10% yake. Ni mchezaji mbovu na asiyejua mpira aliyepata kuwahi Kuichezea Taifa Stars.
Da ukweli Mchungu ngoja tuone hiyo Tarehe 16 keshokutwa itakuwaje.
πππππππππ Huku kwenye KuBET nachagua Cape Verde wanashinda!!!Juzi Cape Verde ' wameuchomeka ' nusu tu na Keshokutwa tarehe 16 October 2018 wanakuja ' kuushindilia ' kabisa pale Taifa.
Na kufanya mapenziUganda 3 Lesotho 0
Kenya 3 Ethiopia 0
Tanzania 0 Cape Verde 3
Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!
Nawasilisha.
Boraa haya majamaa hayakupandaa dege letu make hizi hasara zinatutesa sisi wachumia juani...kweli wanaachwa wachezaji wenye passion na uwezo wanaleta wauza suraa
Na sisi kweli aliyeturogaa ashakufaa na kaburi yawezekana washajenga ata ghorofa make kilichotufanya kusherekea sare sikupata maana ...
Na kufanya mapenzi