KatetiMQ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2022
- 249
- 506
👉Mimi binafsi sikumpenda Trump tangu mwanzo si sababu ya chuki hapana ajenda zake si nzuri kwavwatu weusi toka mwanzo. Trump kabla hatujaelekea uchaguzi alitamka kauli ya kwamba "atahakikisha wahamiaji wanaondoshwa America na atahakikisha anazuia wahamiaji kuingia Amerika".. akimaanisa Weupe ndio wakaaji halisi wa America na Weusi ni wahamiaji...kwakuwa yy ni mweupe hawezi kusema kuwa rangi yake ni wahamiaji... wengi watasema hukuelewa kauli vizur james
👉Wakati wa matokeo ya uchaguzi mgombea mpinzani wa Trump huko America alipata karibia kula asilimia 80% za Weusi...wengi walisema Waafrika walimpigia kula kwasababu ya Bangi. Si kweli kabisa... kwani wewe unaishi Amerika?
Muamko wa kiroho wa Waamerica weusi ni mkubwa kuliko muamko wa Nchi za Afrika au weusi waliopo Afrika.
👉Trump amenuia kusitisha misaaada AFRIKA. Kuna athari zitatokea na Afrika itaathirika vibaya mno kama agizo hilo la kusitisha misaada litatekelezwa. Vifo vya watanzania vitaongezeka na Afrika kwa ujumla kwa ARVs zitasitishwa na kama zikipatikana zitauzwa kibiashara inaweza chukua hata laki nne mpaka milion na Waafrika wengi ni masikini. Hii tunaita VITA YA KISASA yenye lengo la Kuwa adabisha WAAFRIKA
Maana waafrika kwasasa wanajifanya wameamka na wanazitukana huduma zetu, tunaleta chanjo wanasema Freemason tunataka kuwaua.
Niwaambie hivi ugonjwa wa HIV wengi waafrika ni wagonjwa na idadi ya wagonjwa ni kubwa Afrika huko AMERICA kwa wazungu ni kama haipo kabisa idadi ni ndogo sana sanaa. Na waafrika hatujui ugonjwa ulitoka wapi ila Idadi kubwa ipo kwetu
Kukitekelezwa agozo hilo... mpaka kufikia mwaka ujao kutakuwa na nafasi nyingi sana za kazi maofisini..idadi kubwa kubwa vya waafrika itapungua miradi biashara nyingi zitasimama, Uchumi utaporomoka AFRIKA itaandamwa na majomzi na vilevile misaada haito kuja. AFRIKA watawasujidia na kuwalilia weupe wawahurumie.
TRUMP ni mtekelezaji wa udugu wa siri unao taka sasa waafrika waache ubishi na wasitishe mambo yao ya kujifanya wameamka wakubali kuwa Roboti na kusalenda kwa weupe ndipo misaada kwa mara ya kwanza itaanza kuletwa na Nchi za kiafrika zitakazo kataa moto wa jehanamu ya maisha duniani utaongezwa na vikwazo juu.
👉Matukio yenyewe yanaendana na sayari ya mwaka ambayo ni Sayari ya Mars.. inayo wakilishwa na Rangi nyekundi...rangi ambayo inaashiria MOTO na DAMU
Matukio ya moto wa calfornia ni ishara ya Sayari ya mars ..ikiingia kwenye utawala ...Moto ni alama ya mars.. ni Mungu wa vita ...rangi nyekumdu inawakilisha pia damu, vifo machafuko.
THIS YEAR WILL BE THE GREATEST YEAR
Wenye nguvu watasalimika
Baada ya Waafrika kunyooshwa.. Ndipo mpangilio wa NWO utaanza wabishi watakuwa wachache
Hii ni vita ya kisasa na Tump ndiye mtekelezaji wake... Watu weusi hawakuwa wajinga Kumpigia kura kwa wingi mpinzani mgombea mwenza wa Trump
Tutashuhudia mengi
Naendelea kusikitika Waafrika mitandaoni wanampigia kelele na Vigeregere, shangwe TRUMP hawajui kilichopo nyuma yake. Anachanganya mema na mauvu (good and evil) ili kuwachanganya atakapo anza kwasambalatisha msione uovu ulio nyuma yake. TUTAJUA hatujui MPAKA tuseme
Kuna ndoto niliota mfululizo katika siku tofauti kabla hatujaingia mwaka kabla kampeni hazijaanza. KATIKA siku tofauti ndoto tofauti niliota Tanzania inashambuliwa na makombora. Siku nyingin nilion makombora yametumwa bado kutuma Tanzania ipo kimya SISI tupo shuleni TUNAPOKEA tangazo kila mtu ajiponye akimie. KIUMBE sio makombora nilivyo kuwa nikifikiri KUMBE NDIYO HAYA YANAYO KUJA... JIANDAENI HIKI NDICHO KIPINDI AMBACHO TUTAPITUSHWA KATIKA MOTO ILI TUWE WATUMWA WAKAMILIFU ... TUTAPITUSHWA KWENYE MATESO KWA MIAKA KADHAA TUKILETEWA BAADAYE NEW WORLD ORDER HAKUNA ATAKAE BISHA NDIO MPANGO WAO
KUZIMA MOTO ULIO AMKA WA KUJITAMBUA KWA WAAFRIKA NA KUWAFUNGA DAIMA KATIKA UTUMWA CHINI YA HAO (WAITI)
👉Mimi binafsi hata PUTIN simwamini na simpendi ... why?
Putin amekuwa akiwasifia waafrika...na waafrika wanashangilia wakifikilia ni mwenzao... putin ni mjanja waafrika ni wajinga ni kama robot
Anacho fanya putin kwa waafrika tunaita "KUTEKA FIKRA" Mumuone mwenzeni muanze kushirikiana naye... siku kjiingia katika vita na ni mkorofi awatangulize waafrika au apate jeshi la bure kwa waafrika.
NEW WORLD ORDER IS COMING
WAKE UP AND STAY STRONG ..IF WE DIE LET US DIE AND IF WE WIN LET US WIN YEET @everyone