Hii ndiyo yanga halisi. Hawajacheza nje ya uwanja

Mkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.

Hakuna ushindi bila kuhonga.
Sasa kama unahonga, mpaka timu ya Dr. Mudi, shida iko wapi?

Matunda ya kuhonga si unayaona!

Yanga ndiye Bingwa wa ligi kuu msimu huu! Na muda huu wananchi wanazunguka uwanja pale Sokoine na kikombe chao cha ubingwa.

Kama una hasira, kunywa maji mengi ili zishuke.
 
Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha

Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.

Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
 
Kwaani shida iko wapi??
 
Sasa ulitaka wacheze kama wanapambania kombe wakati tayari walishalichukua
 
Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha

Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.

Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Kwani shida yako ni nini mkuu? Wakifungwa si wanafungwa wao wewe uchungu unatokea wapi? Nyie angalieni ya kwenu na sajili zenu za akina Nassoro kapama wa kagera sugar ubingwa mtaendelea kuusikia kwenye bomba
 
Back
Top Bottom