Mlikutana na kikosi cha mumadrid huku kikiwa na majeruhi wengi. Mngekutana na hiki cha matola mngejinyea.Simba alihongwa na yanga inamuhonga had bilionea kijana hatari sana
Kwa hiyo hiyo na Simba mlipofungwa na Yanga kule Mwanza mlihongwa?Kuna ka ukweli. Chuplichupli na udhamini mwenza wa Ligi Umesaidia.
Kule CAF sijui itakuwaje.
Michezo ya hujuma nje ya uwanja tuKwa hiyo hiyo na Simba mlipofungwa na Yanga kule Mwanza mlihongwa?
Sasa kama unahonga, mpaka timu ya Dr. Mudi, shida iko wapi?Mkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.
Hakuna ushindi bila kuhonga.
Uto..wapo mguu pande mpaka Sasa.Kuna ka ukweli. Chuplichupli na udhamini mwenza wa Ligi Umesaidia.
Kule CAF sijui itakuwaje.
Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Kwaani shida iko wapi??Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.
Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Sasa ulitaka wacheze kama wanapambania kombe wakati tayari walishalichukuaNa wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.
Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Kahongwa refa wa mchezo.Kwa hiyo hiyo na Simba mlipofungwa na Yanga kule Mwanza mlihongwa?
Kwa lile goli la Fei Toto, kama ni mwanamichezo kweli, hata kama mtu kahongwa basi amekula hela ya bure
Ata ngao ya hisani kilikuwa na majeruhi wengi au sio bwana mbumbumbu?Mlikutana na kikosi cha mumadrid huku kikiwa na majeruhi wengi. Mngekutana na hiki cha matola mngejinyea.
Kwani shida yako ni nini mkuu? Wakifungwa si wanafungwa wao wewe uchungu unatokea wapi? Nyie angalieni ya kwenu na sajili zenu za akina Nassoro kapama wa kagera sugar ubingwa mtaendelea kuusikia kwenye bombaNa wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.
Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Kwani wewe mpaka unaolewa si ulihongwa chips kuku ndo ukapelekewa motoMkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.
Hakuna ushindi bila kuhonga.