Hii ndo Ahadi yangu ikiwa Simba itaifunga TP Mazembe. MODERATORS muwe mashahidi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ikitokea Simba kesho imemfunga TP Mazembe. Mimi ntaponda ponda mapumbu yangu kwa nyundo yawe kama uji. Moderators muuache uzi huu nisipoweka ushahidi wa picha hiyo za mapumbu nliyoponda ponda mnifungie siku 3. Kwa kosa la kusema Uongo
 
Mkuu rejea somo la tamathali za semi,itakusaidia kupunguza ukali wa maneno
 
Ikitokea Simba kesho imemfunga TP Mazembe. Mimi ntaponda ponda mapumbu yangu kwa nyundo yawe kama uji. Moderators muuache uzi huu nisipoweka ushahidi wa picha hiyo za mapumbu nliyoponda ponda mnifungie siku 3. Kwa kosa la kusema Uongo
Hahaha kuna mtu alitoaga ahadi ya kunya watu walimzibua kishenzi

Mpira sio wa kujiamnini kiivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…