Hii ndo Chelsea ya Thomas Tuchel

Hii ndo Chelsea ya Thomas Tuchel

shebishenko

Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
20
Reaction score
26
Chelsea kabeba cup jingine usiku wa leo (UEFA super cup) hakika huyu kocha Thomas Tuchel ananyota ya makombe ndani ya Chelsea, hutufanya sisi mashabiki wake tuzidi kunenepa hahahaah

IMG-20210812-WA0020.jpg
 
Ila sijawafurahia sana kushinda kwa penati. Maana siku zote hizo penati hazina mwenyewe.
 
Kwakweli Chelsea wako moto,mwaka huu sisi Arsenal sidhani kama Chelsea wataendelea kuwa pisi yetu ya kujipigia.
 
Back
Top Bottom