Hii ndo EPL Gurdiola

mkuu juzi juzi tu huyo barca katiwa 3 na pep sasa sijui unaongelea ubora upi? na bayeni mwenyewe kapigwa na timu ya kizembe tu juzi juzi hapa kwenye uefa. wat u should know ni kwamba bayen,madrid na barca wanatumia pesa nyingi sanaaaaa na wanakimbiliaga world best players wote.sa sidhani kama inakuwa ni rahisi ku compete na timu kama hiyo linapokuja suala la CL
 
inawezekana mkuu ukawa sahihi lakin hizi timu zetu za EPL wanaonekana wazuri wakiwa ndani lakin wakishatoka nje kucheza na timu za ligi nyngne inakuwa ni matatizo makubwa achilia mbali barcelona na madrid...sevilla amechukua europa miaka mitatu mfululizo tutasema na yeye ana top players kweli? angalia makundi ya europa yameisha sasa hivi southampton katupwa nje kwa kushndwa kuifunga timu ya israel.....
 
Hata timu yao ya taifa si lolote kwenye michezo ya kimataifa.
 
Kwa hiyo hizi timu za epl pia hazifundishiki? Maana kama Pep ni kocha bora kwanini asiifanye Man City ikawa bora ulaya, kwanini Carlo Anchelot anakuwa kocha bora Bayern na Madrid tu lakini akija EPL ni kocha wa kawaida tu? Hii dhana ya kocha bora kwa kuangalia Laliga na Bundesliga si sahihi hata kidogo maana hizo ligi hazina ushindani kabisa.We unadhani Arsene Wenger hawezi kubeba treble na kikosi cha Barcelona au Bayern?
 
ligi bora spain hawa wengine ligi inakua ngumu sababu viwango vyao vinafanana. madrid na barca hizi ni timu za dunia
 
Madrid, Barcelona na munchen pia wanatumia njia ya kuchukua wachezaji wa timu ndogo ili wazidi kiwadhoofisha mfano, munchen wamewachukua lewandowki, gotze hummers na wengine, au kina alves, alaba, ramos
 
halafu kinachonishangazaga kuna wanafiki huwa wanaiponda hii ligi sijui huwa hata wanatumia kigezo kipi.

ndo mana pia huwa nasema messi ni mzuri lakini pia ningependa aje epl adhihirishe hilo zaidi.
Kwako king Messi atafit club gani haswa. Yeye kazoea tik tak nyie mmezoea butuabutua. Nakuambia hii ratiba iliyotoka janaa ya ucl knock out stage hakuna timu yoyote ya epl ligi itabaki. Zote zinatupwa nje.

English premier league ipo zaidi kwenye media kuliko uwanjani. Kwenye media wana perform 100% uwanjani 20%.
 
Epl ni ligi ngumu... maana wana involve nguvu nyingi na speed. ligi zingine... ni akili zaid.....
thats why wachezaj wakitoka ligi zingine wakija epl wanaonekana kushuka... si kwasababu hawana viwango... kwa sababu style ya uchezaji ni tofauti
 
Epl ni ligi ngumu... maana wana involve nguvu nyingi na speed. ligi zingine... ni akili zaid.....
thats why wachezaj wakitoka ligi zingine wakija epl wanaonekana kushuka... si kwasababu hawana viwango... kwa sababu style ya uchezaji ni tofauti
kweli kabisa mfano mzuri Ozil sanchez aguero Mustafi diego costa
 


Epl tushawazoea Mkuu hawana chao EUROPA/UCL ni wasindikizaji wazuri tu..Man city kwa mbali anajitahidi lkn by end of the day wanaambulia kipigo tu.....
 
UMESEMA UKWELI KULIKO WOOTE.......timu za epl zinafanana kwa ukilaza.........
 
EPL timu zake zote zinafanana kwa ukilaza....nikupe mfano...mm niilikuwa nasoma tuition kwa iden nikifanya mtihani huko wa math napataga 40 mpaka 35 ..na nafasi yangu ni mtu wa 50 huko,lakin nikiwa darasani shulen mm ndo nawaongoza napiga 70 and 80....sasa mm ni mkali kwa vilaza wenzangu huko....hvyo hyo epl woote vilaza so wanashindana wenyewe wakija na majembe kama real,barca,PSG,inter, bayan lazima wakae na hawafiki popote.....chukua timu ya mwisho hispania ukiitia epl wallah lazima ishike 4 bora
 
Hamna kitu ile ligi imejaa misifa tu...totenham na utata wake amekutana na monaco CL ni vipigo nje ndani hoi taabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…