Hii ndo historia ya maisha ya mtangazaji millard ayo, kama uikua huijui karibu kuisoma

Hii ndo historia ya maisha ya mtangazaji millard ayo, kama uikua huijui karibu kuisoma

kwakweli ni habari nzuri na inayojenga akina warumi.. Ibrahim300.. MONEY stuna na appoh toeni habar kama hz na si udaku wa Chupi za watu
 
Last edited by a moderator:
Mbona mie hajanitaja na nilimfundisha praimare? Happy for you boy, usibweteke basi.
 
Inspiring story

Ingawaje kijana huyu simfahamu ni nani na anafanya nn TZ na why habari zake ziko hapa lkn ningekuwa mm mtu wake wa karibu ningemshauri aende shule!

Kwenye biograph yake yote vyuo alivyo vitaja kahitimu ni "Kayumba style"!Arudi chuo haraka
 
sawa bwana Millard Ayo,sisi huku Tandahimba tunakufyagilia wawaaa
 
Penye nia njema, Mungu hutia neema,dogo Millard kaza buti kwni natumaini hapo ulipo co mwisho wa ndoto zako
 
Ingawaje kijana huyu simfahamu ni nani na anafanya nn TZ na why habari zake ziko hapa lkn ningekuwa mm mtu wake wa karibu ningemshauri aende shule!

Kwenye biograph yake yote vyuo alivyo vitaja kahitimu ni "Kayumba style"!Arudi chuo haraka

Offcourse ktabu nacho muhm
 
Mambo mengine niwe napita tu storry zingine hua hazisisimui
 
Sauti yake redioni weee acha tuuu sijui live inakuaje
 
Back
Top Bottom