Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire