Hii ndo namna ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda.

Kufuati hali hiyo wanawake wengi hupata hofu juu ya mzunguko na huamua kutumia dawa ilikuurudisha katika mfumo wake.
Madhara yanayoweza kutokwa endapo kukawa na mvurugiko ni pamoja na:- kushindwa kupata ujauzito, maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.

Vitu vinavyosababisha kvurugikwa kwa mzunguko ni pamoja na kuwa na Msongo wa mawazo, Uvimbe kwenye kizazi, woga, hofu , Kutokwa na uchafu ukeni na Matatizo kwenye mfumo wa homoni.

Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi:-

a.)Papai

Pendela kula matunda ya papai kwani carotene, chuma ( iron), Kalsiamu (calcium) na vitamini A na C ambavyo husaidia kulainisha na kunywea kirahisi kwa kuta za mji wa uzazi.

b.)Kunywa maji

Takribani magonwa mengi chanzo chake ni mwili kutokuwa na maji ya kutosha. Maji ni uhai. Unachohitaji hapa ni kutokusubiri kiu.

c.)Tangawizi

Utumika kama kiungo cha chai ama kcha kwenye chakula, lakini tangawizi ni moja ya kiungo kinachotimu maradhi mengi sana.
Tangawizi hufanya kazi mhimu kabisa katika kushusha kiwango cha homoni inayosababisha maumivu ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘prostaglandins’.

Vyakula vinginevinavyosaidia kurudisha mzunguko wa hedhi ni pamoja na Mrehani, Mbegu za maboga, kotimiri na viazi pori.
 
Hapo kwenye maji natofautiana na wewe, wataalumu wanasema kula pale unapojisikia njaa, usile tu kwa sababu ni saa 7 ndo muda wa chakula cha mchana hapana.
Kunywa maji unapojisikia kiu

Half Kisababishi kikubwa kabisa cha hedhi kuongezeka kwa homoni ya kiume kwa mwanamke. Hayo matatizo uliyo yataja hapa " Vitu vinavyosababisha kvurugikwa kwa
mzunguko ni pamoja na kuwa na Msongo
wa mawazo, Uvimbe kwenye kizazi, woga,
hofu , Kutokwa na uchafu ukeni na
Matatizo kwenye mfumo wa homon" baada ya hedhi kuvurugika muhusik anakuwa na matatizo hayo msongo wa mawazo, uvimbe kwenye kizazi mayai ya nashindwa kutoka yanarundikana ndani.
Dalili unazifanya ndo sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…