Hii ndo pesa aliyolipwa kim kardashian kwenda nigeria for 24 hrs only na hela waliyolipishwa watu

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147


Stori za kuaminika kutoka Nigeria ni Kuhusu kufahamika kwa kiasi alicholipwaTv Star
Kim Kardashian kwa Ajili ya Kuhudhuria Concert Iitwayo Love Like A Movie February
17 2013...Iliandaliwa na R&B Star Darey art Alade , Ni dolla za kimarekani ambazo
kwa haraka haraka ni zaidi ya milioni 800 za kitanzania....!!

Unaambiwa Kim K baada ya Kumaliza kilichomleta ,Aliondoka Nchini Humo ndani
ya saa zisizozidi 24 ambapo kwa Mujibu wa Mediatakeout imefahamika baadhi
ya watu walioudhuria concert hiyo walichajiwa Dolla za Kimarekani $640
kwa kila mmoja kwa kupiga nae picha na ku party nae Kim K Ambae
pia ni Baby Mama wa Rapper Kanye West.....!!
USD $640 NI zaidi ya Milioni ya Kitanzania...!!





Baadhi ya watu wametoa Maoni yao Baada ya kuudhuria Show Hiyo wamesema
kumlipa Kim K Dolla za Kimarekani laki 5 ni upuhuzi ambao ujawahi kutokea,
kisa tuu ni staa huyo kutokea kwenye hiyo concert na kukaa muda usiozidi
Saa 1,Staa ambae watu na wahandaaji wa show hiyo walimpapatikia wakati
ni mtu ambae Hata Wamarekani wenyewe wanamchukia kutokana na Matendo
Yake Ikiwemo ile sex tape na Mwanamziki RAY J....!!
 
Mbona hii sii ya kuumiza kichwa sana... ukilinganisha na kwetu hapa; tena yahusu pesa za wananchi. Je, wajua CCM walimlipa msanii Diamond milioni ngapi hivi karibuni huko Kigoma kama chambo cha watu kuhudhuria mkutano wao??... Milioni 36!! Masela kazibeba tartiiib na kwenda kununua nyumba kitaa...

Sasa hebu linganisha GDP yao per capita ngapi na ya kwetu ni ngapi, pia majigambo ya Wanaija na idadi yao -- ni wangapi wanaweza kumudu hiyo millioni na ushee kupiga picha...
 
mbona ela ya kawaida tu,aliolipa ajalalamika nyie msiotoa ela mnalalamika wap na wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…