Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
NB
Nitakayoandika hapa ni kutokana na Imani yangu na utafiti wangu.
"Kwanini watu wazuri hufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi ".
Hapa dunia kuna kitu kinaitwa Purpose ( Kusudio) na ndani ya hilo kusudio there's a mission kuna mission ambayo binadamu amekuja kuifanya hapa duniani.
Binadamu anapokamilisha mission yake hata Kama Ana miaka 30 ataondoka duniani "MAPEMA".
Ukifatilia watu makatili na useless people ndo huwa wanaongoza kuishi miaka mingi Sana ukilinganisha na watu wema .
Hii ni kwakuwa huwa hawaishi katika purpose yao hivyo nature au universe huwa inawapa
Watu wabaya hupewa miaka mingi ili wafanikiwe kutimiza kisudio lao.