Hii ndo sanamu ya Freemason iliyopo nyumbani kwa Nay wa Mitego

Hii ndo sanamu ya Freemason iliyopo nyumbani kwa Nay wa Mitego

YetuMacho

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
16
Reaction score
17
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.

Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...
 
Hii nji ukipata mafanikio kidogo tu; tayari wewe Freemason; Duh!
 
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.

Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...

ujue mm huwa sielew dhana ya kuwa freemason kwa sababu mtu akisema yuko freemason huwa anajituma sana labda freemason sera yao nikujituma lakin ambao hawaja jiunga kaz ni kuwafuatilia maendeleo hakuna
 
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.

Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...

Huu muda wa kumfuatilia Ney wa Mitego kiasi hiki ungeutumia kutatutua matatizo ya ufukara / umasikini uliokithiri pengine katika Kaya yako au ngazi yako ya Kijiji leo usingekuwa mbali Kiuchumi? Halafu kinachonichekesha umeleta UZI wa Mtu ambaye nina uhakika hata ujitahidi vipi huwezi hata kufikia theluthi ya Utajiri alionao na Pesa alizonazo. Ushauri wangu tu pambana na maisha yako achana na kutaka kuchunguza wengine wanafanya nini kwani hutajua na yatakushinda. Wewe umeona tu hiyo SANAMU iliyopo kwa Ney wa Mitego lakini umesahau kuwa huko Kijijini kwenu KYAKA NKUNDE na IKUPILIPA NKOBA Babu yako amening'iniza bonge la HIRIZI na linapumua 24/7 na pengine Bibi nae akienda sokoni kuhemea anatumia tu usafiri wake wa mwendokasi wa UNGO. Umeshatuwekea hiyo picha ya SANAMU ya Ney sasa tunakuomba utupigie pia picha za Hirizi na Ungo ulioko kwa Babu na Bibi zako huko Vijijini ili twende sawa.
 
Kuna tofauti Kati ya Freemason na Filimasoni. Hawa Bongo fleva, Bongo movie, Le Mutuz na kadhalika ndio Filimasoni. Msitake kufananisha Freemason na mambo ya kijinga.
 
anajipendekeza tu kwa freemason mbona maisha yake ya kawaida tu tofauti na freemason wengine dunian wenye mavumba ya kutosha
 
Ney ana hela yule. Usimchukulie poa
wapi bhana! ana hela ya kubadilishia mboga,vigari na vijumba tu ndo ana hela,yule ana maisha mazuri kama wasanii wengine tu lakini asihusishe utajiri wake na fm nakataa ever yeye atafute kick kwa njia nyingine sio hiyo
 
Acha wivu wa kike
 
Acha wivu wa kike
kama inakuuma mimi kumtumbua bwana wako anayependa misifa basi nenda kanunue dildo upige selfie kuliko kujipendekeza kwa mabwana wenye pesa.muda huu ungekuwa unamuandalia futari mmeo ingependeza kuliko kumtetea buzi lako humu jf
 
Vijana tufanyeni kazi aisee, hakuna utajiri wa ubwete dunia hii. Mtaishiwa kutolewa makafara, kuharibu maisha na hata kuliwa viboga hivi hivi na hao wanaojitangaza kuwa wana connections na hizi secret societies.
 
Tunasubiri wimbo wako Nay, nakutahadharisha ukitukana viongozi utaishia pabaya maana ya Arusha umeyasikia.
 
Tofautisha freemason(a fraternity/secret society) na devil worshipper...Japo kuwa mwisho wa siku freemason humtukuza na kumwabudu shetani,lakini sio style ya devil worshipper.Huyu Nay wa mitego ni mwabudu shetani tu lakini sio freemason,hata kiumri bado ni mdogo sana kujoin hiyo jamii ya siri,maana wanayowafunza huko ni mazito na ya siri,hawawezi kurisk na kumwingiza kijana mvuta bangi ambae siku moja anaweza akawa amelewa bar akaanza kuropoka...
 
Back
Top Bottom