ujue mm huwa sielew dhana ya kuwa freemason kwa sababu mtu akisema yuko freemason huwa anajituma sana labda freemason sera yao nikujituma lakin ambao hawaja jiunga kaz ni kuwafuatilia maendeleo hakunaNay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.
Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.
Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...
Ney ana hela yule. Usimchukulie poaanajipendekeza tu kwa freemason mbona maisha yake ya kawaida tu tofauti na freemason wengine dunian wenye mavumba ya kutosha
wapi bhana! ana hela ya kubadilishia mboga,vigari na vijumba tu ndo ana hela,yule ana maisha mazuri kama wasanii wengine tu lakini asihusishe utajiri wake na fm nakataa ever yeye atafute kick kwa njia nyingine sio hiyoNey ana hela yule. Usimchukulie poa
Acha wivu wa kikewapi bhana! ana hela ya kubadilishia mboga,vigari na vijumba tu ndo ana hela,yule ana maisha mazuri kama wasanii wengine tu lakini asihusishe utajiri wake na fm nakataa ever yeye atafute kick kwa njia nyingine sio hiyo
kama inakuuma mimi kumtumbua bwana wako anayependa misifa basi nenda kanunue dildo upige selfie kuliko kujipendekeza kwa mabwana wenye pesa.muda huu ungekuwa unamuandalia futari mmeo ingependeza kuliko kumtetea buzi lako humu jfAcha wivu wa kike