Hii ndo situation ....

ndio maana mfalme Suleiman aliomba apatiwe hekima, kwa maana aliona mengine yote ni ubatili mtupu!!! Hekima ni mwisho wa yote!!!
 
''tunarudishana nyuma mambo ya kuibianaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''
 
Mengine hayasemwi hadharani. Wewe fanya kama katika ile hadithi ya "Mfalme ana pembe". Nenda msituni, chimba shimo, sema shibe yako "Wifi na kaka wanavunja amri ya sita".
Baada ya muda utaota mti, matunda yake yakipevuka yatamaliza kazi.
 



anunue line mpya ya simu
aandike msg kuuubwaa amtumie wifi
then destroy line .
nawasilisha
nb;andika msg yenye information za kiujitosheleza that ata wif akitaka afanye uchunguz asipate tabu.
 
Napenda kuwasalimu kwa
Herufi kubwa wataalum wote
wa mambo ya nje na ya ndani ...

Afro Denzi (AD) .. huwa sijui kwanini nakufananisha sana na Dena Amsi (DA) .... from story telling approach to ... AD and DA ... what a 'reversed' similarity!!
 

...busara tupu. Hakuna kitu mbaya kujifanya kupeleka ushuhuda, halafu
jibu la kwanza unaambiwa, "...unaniambia ili iweje? ...wewe ndio umejua leo?"
 
hizi ishu za kusanifiana/kuchorana huwa zinanikera sana sana, hapo ukute wifi yangu anakujaga na huyo frnd wake nyumbani kwangu nawakarimu kama vile wote mawifi kumbe mmoja anaku enjoy, kwa mara ya kwanza ningeshikishana adabu na mwanamke mwenzangu juu ya mwanaume....kuchorana gani huku?
 
Reactions: Mbu
DAH!!
hata sina la kusema
yani in short kaka, wifi, na wifi's friend wanamchora bidada..duuh :yawn:
 
Na itakuaje kama wifi atakuja kujua kinachoendelea kati ya mume wake na huyo dada na kugundua kuwa na mm naujuwa ukweli wote?
Hivyo kama ni mm, namtext kwa kumtaarifu indirect. Kwa maana kuwa nitamtaka afanye uchunguzi juu ya mume wake na huyo dada. Ila nitamtahadharia juu ya kumuambia mtu yeyote yule kama anataka kujuwa ukweli uliopo. Hapo tena kazi kwake, mm langu jicho tu.
 
DAH!!
hata sina la kusema
yani in short kaka, wifi, na wifi's friend wanamchora bidada..duuh :yawn:

Yani dia inauma sana wengine unakuta hata wazazi wanajua whats going on ila kila mtu anakula kobisi tu. Wanamchora mke hadi basi.
 

asante sana babu DC
kwa michango yako nimesoma yote
lakini babu wifi aki find out kwamba sisi
wote watatu tunajua kuhusu hilo na hakuna aliye sema kitu.....
na kila mara mimi na rafiki yangu tunaenda kwa wifi kumsalimia..
nawachukua watoto wanakaa kwangu kwa wiki au kitu...
na wifi ananiamini kupita kiasi ... Je huoni hapa tunaweza haribu kila kitu
kama hamana atakaye sema kitu soon???
 
Afro Denzi (AD) .. huwa sijui kwanini nakufananisha sana na Dena Amsi (DA) .... from story telling approach to ... AD and DA ... what a 'reversed' similarity!!

Dena dada yangu mkubwa...
kwa hiyo hujakosea my dear ..
asante.
 
anunue line mpya ya simu
aandike msg kuuubwaa amtumie wifi
then destroy line .
nawasilisha
nb;andika msg yenye information za kiujitosheleza that ata wif akitaka afanye uchunguz asipate tabu.

to some point
nakubaliana na wewe mpenzi
mie naoana ni bora kutafuta njiaa ya kumwambia
kuliko wote kupiga Kimya..
 
purely non-sense: ni zilezile adithi za Abunwasi! najuta hata kwa nini nachangia hii thred!:spy:
 

 
Ukiona Mtu na wifi yake wanapendana sana jua kuna tatizo (Kuna kitu wana-share). Possibility kubwa wanatunziana siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…