Elections 2010 Hii Ndo Tanga Zaidi Ya Uijuavyo!


Kazi kinafanya????
 

Tafuta threaad imeandikwa Mabere Marando.Soma ucheke.
 
Pata ujumbe wa rais kupitia video hii

 
Last edited by a moderator:
duh,kuna mtu kaniuliza kama nafahamu jiolojia ya hapo pangani.mkuu hii ni karne ya 21,watu wamefika mpaka mars,wewe bado umenangania jioljia?yaani sisi watanzania tunatafuta njia za mkato sana kusolve problems zetu.tunapenda ku postpone matatizo badala ya kusolve them promptly.ukitaka bana,kila kitu kina wezekana.yaani unaniambia hapa daraja ni imposible?sasa we tembea china,utaona madaraja,na jiolojia ndiyo usiseme.let me tell you.IF THERE IS A WILL,THERE IS A WAY,but we tanzanians we like simple things,easy to get,we dont want to work hard.
 
JF kuna kazi, ndugu ya kunani unataka kuniambia watanzani ni wavivu? mimi naamini kabisa watanzania ni wachapa kazi isipokuwa kinachotuangusha ni mfumo mbaya wa utendaji wa serikali yetu ya CCM, hapa kilichojadiliwa ni ahadi za CCM kivuko cha Pangani kimetumika kama mfano tu wa ahadi hizo, sasa inashingaza hawa makada wa CCM mnyalukola Anyisile na Kunani kutaka kututoa nje mada tunayoijadili, kama mnataka tujadili maeneo tunayoishi ama tunayotoka anzisheni topic tuanze kujadili kwani utakayoyaona yatakushangaza, hiyo Pangani utaiona bora mara elfu maana angalau wao wana usafiri, umeme, barabara, hospitali na huduma nyingine za kijamii, zipo sehemu nyingi sana Tanzania huduma hizo ni ndoto kutokana na ahadi za CCM, Kunani acha kutumia picha za magazeti kama ungefika china usingeitumia kama mfano, China wana resources zote muhimu za maendeleo jeje sisi tunazo? Naona umezungumzia kuwa watu wamefika mars, ni hivi mpaka sasa hivi hakuna binadamu ambaye ambaye amefika mars NASA wamefanikiwa kutuma chombo isipokuwa wanataka ifikapo 2020 wawe wameshapeleka binadamu kama walivyoepeleka mwezini, lets use this forum as tool to educate one another instead of bring down our morales
 
Pata ujumbe wa rais kupitia video hii


Hivi hiyo sound track ni original au imepikwa? Naona kama jamaa anaongea maneno yasiyotoka akilini mwak kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiyo sound track ni original au imepikwa? Naona kama jamaa anaongea maneno yasiyotoka akilini mwak kabisa.

Inategemea akili yako ikoje.Kama kubeba box kumekuwa kugumu utaona imepikwa:becky:
 
shukrani CCM, tupe zingine ambazo zimetekelezwa na mimi naanza wanajamvi mnaweza kuongezea ambazo hazitekelezwa, yaani ahadi zilizotelekezwa:
1. daraja la kigamboni
2. maisha bora kwa kila mtanzania
3.
4.
5.
6.

2. maisha bora kwa kila mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…