Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Saigon mtangazaji channel 5
Toa FA weka STAMINA
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Toa FA weka STAMINA
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mmemsahau SALU T,SUGUmy list :
1: JAY MOE.
2😛ROF J.
3:AFANDE SELE.
4.FID Q.
5:STAMINA.
6:NGWAIR.
7:SOLO THANG.
8:CHINDO MAN.
9.LORD EYEZ.
10.JOH MAKINI
Nachukia sana mistari yake ya KAMA. Nikki Mbishi aka baba Malcom big up!Yaani Stamina yule asiyeweza kuandika mistari bila kutumia neno la ulinganifu 'kama' ndo wa kumfananisha na Mwanafalsafa?Nadhani utakuwa unatania tu
YANGU NDIO HII HAPA
1.Fid-Q
2.Hashim Dogo
3.salu T
4.Prof J
5.Zavara
6.One Increadible
7.Nikk Mbishi
8.Jcb
9.P the Emcee
10.Gwair
..........overrrrrrrr
Salu T ni one of dope of Mc in Tz lakini hafai kua hata kwenye 20 kwasababu jamaa baada ya Chunga sana amekua kimya.
Ukiniambia nitaje list ya wasanii 10 bora wa HIPHOP Bongo tokea mziki huu uingie nchini nitakupangia list kama ifuatavyo;
1. PROFESA JAY
2. SUGU
3. SOLOTHANG
4. JAY MOE
5. FID Q
6. AFANDE SELE
7. MWANA FA
8. MANGWAIR*r.i.p*
9. CHID BENZ
10. JOH MAKINI
:: Panga na wewe TOP 10 yako......................!!!
yani FIDQ anakaa Chini Ya J-moo Hahahahaaaa Unautani kweli Rafiki Yangu#
YANGU NDIO HII HAPA
1.Fid-Q
2.Hashim Dogo
3.salu T
4.Prof J
5.Zavara
6.One Increadible
7.Nikk Mbishi
8.Jcb
9.P the Emcee
10.Gwair
..........overrrrrrrr