Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....


thanx, u make ma day, nimecheka sana
 
Salu T ni one of dope of Mc in Tz lakini hafai kua hata kwenye 20 kwasababu jamaa baada ya Chunga sana amekua kimya.

Sema wewe hiyo nyimbo ndio unaijua mimi na nyimbo zake zaidi ya 8 kuna nyota imepotea kuna inaweza tokea ngoja ntakusendia baadaye kijana kwa bbm
 
1.joh makini
2.Fid q
3.nikki wa pili
4.lord eyez
5.Gnako
6.prof j
7.sugu
8.jcb
9.Bonta
10.Nach mc
 
1.SUGU
2.Pro. JAY
3.AFANDE SELE
4.FID Q
5.JOE MAKIN
6.NIKKI MBISHI
7.LORD EYEZ
8.BONTA
9.ROHO SABA
10.GODZILLA
11.ONE INCREDIBLE
12.JCB
13.NIKKI WA PILI
14.FATHER NELLY
15.BOU NAKO na CHINDO MAN dah kiukweli haWAishi.
 
1.Jay moe
2.Solo thang
3.Afande sele
4.Fid q
5.Salu t
6.Mwana fa
7.Ngwea
8.Nick II
9.Langa
10.Kala jeremiah
 
1.Fid Q
2.Prof J
3.Afande sele
4.One incredible
5Nikki mbishi
6.Mwana FA
7.Sugu
8.Mangwea R.I.P
9.Jay mo
10.Nikki wa pili....


Joh makini nimemnyima kutokana na kudrop sana ndani ya miaka mi3 hii...jamaa hatoi tena ngoma NAGWA zileee, Chid benz sijawahi kumkubali na Stamina hajui hata young killah hamuingii
 
1.prof j
2.afande sele
3.solo thang
4.hasheem dogo
5.jay mo
6.nash emcee
7.ngwair
8.kala pina
9.one incredible
10.nikki mbishi
 
Salu T ni one of dope of Mc in Tz lakini hafai kua hata kwenye 20 kwasababu jamaa baada ya Chunga sana amekua kimya.

Salu T hafanyi muziki kama biashara anafanyia hobby tu na bado ni best sana....
 
Kuna kurap na kubwata ma raper na ma rapper.
My List.
1.P da Mcee
2.Nash Mcee
3.Young Killer ni mchanga lkn ana tone ya hip hop
4.Jay Mo
5.Chindo Man
6.Nikki Mbishi
7.Stereo
8.One Incredible
9.Nikki wa pili
10.Saigon hoi kalinye kalinye King kong 3 shotta
 
Salu T hafanyi muziki kama biashara anafanyia hobby tu na bado ni best sana....

Kuna Mpini wake unaitwa Chunga Sana hata FidQ Ashawah kum quote kwenye verse yake kwenye trak ya Witnes zero "chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T"
 


List yako inachekesha,anyway umeutumia vizuri uhuru wa kutoa maoni
 
Sema wewe (hiyo nyimbo) ndio unaijua mimi na nyimbo zake zaidi ya 8 kuna nyota imepotea kuna inaweza tokea ngoja ntakusendia baadaye kijana kwa bbm
aka2030 hapo kwenye mabano,unanilazimisha niingie tena darasan,nikufundishe ww na wajanja wenzio msiojua kutofautisha kati ya wimbo na nyimbo.
UMOJA(wimbo) WINGI(nyimbo).
 
FD Q 2.JOH MAKIN 3.JAY MO 4.D KNOB 5.DARASA 6.NIKKI 2 7.NAKO2NAKO 8.SUGU 9.WATEULE 10.IZZO B hapana chezea wanasayansi wameshindwa tambua,ng'ombe anakula majani,anatoa maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…