Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Neema wa Mitego ooh sorry Ney wa Mitego njoo ujipigie kura hapa
 
Ya kwangu mm
1.watengwa(chindo man & jcb)
2.xplastars( R.I.P father Nelly)
3.Baloz
4.sugu
5.stoppa
6.fid q
7.j moe
8.G nako
9.zavara
10.Imamu Abbas
 
Ya kwangu mm
1.watengwa(chindo man & jcb)
2.xplastars( R.I.P father Nelly)
3.Baloz
4.sugu
5.stoppa
6.fid q
7.j moe
8.G nako
9.zavara
10.Imamu Abbas


Jay Moe anashika nafasi ya 7 hapo...
Juma ametajwa na watu weengi zaidi.
Hii inamaana kuwa Mo Tech ni balaa
 
Unamjuwa Saadat wa kundi la waswahili...

nani amrithi osama ama bush akianguka/
nani amrithi bill gates ubongo wake ukichujuka/
sokoine kaenda zake,
kaibeba roho yake sifa na wasifu wake
aliyeziba pengo labda malaika wake
jiulize cku aki2toka amini dada
je uganda italia japo hakuwa na msada?
huyu jamaa sijui kapotelea wapi dah!
Namkubali sana hasa katika PENGO
 


Aibuu.
Huyo jamaa ni Balaa jengine...
 
1.Profesa jay 2.fid q 3.jay mo 4.nikk wa pili 5.bonta 6.adili 7.joh makin 8. Langa 9.king crazy gk 10.bonta
 
Zote za langa.

umeanza kusilikiza lini hii miziki?
Hilo dongo lilitolewa na Mo Technique mwaka 2007 katika song lake linaloitwa JIPANGE akiwa kamshirikisha KIMYA aliyekuwa producer wa KIKOSI RECORD!
icheki hyo song
www.waptrick.com
 
Mie ya kwangu hakosi MACK D.ntarudi midamida kuipanga
 
Ya kwangu mm
1.watengwa(chindo man & jcb)
2.xplastars( R.I.P father Nelly)
3.Baloz
4.sugu
5.stoppa
6.fid q
7.j moe
8.G nako
9.zavara
10.Imamu Abbas

Washabiki weng wa Hip Hop wa juzi hawawez kumkumbuka mtu kama Imamu Abbas, ni Msanii wangu bora Hip Hop wa miaka yote.
 

J MO ndo mkali kuliko wootee kibongobongo hilo halina ubishi!chek song alyomshrksh MIMMS ndo utamwelewa vzr mo tech
 
Ya kwangu mm
1.watengwa(chindo man & jcb)
2.xplastars( R.I.P father Nelly)
3.Baloz
4.sugu
5.stoppa
6.fid q
7.j moe
8.G nako
9.zavara
10.Imamu Abbas

Washabiki weng wa Hip Hop wa juzi hawawez kumkumbuka mtu kama Imamu Abbas, naikumbuka Mitaa ya Kati. ni Msanii wangu bora Hip Hop wa miaka yote.
 
1.j mo
2.solo thang
3.kalapina
4.sugu
5.hashim
6.one
7.yule aliyechomwa kisu arusha
8.ngwair
9.niki mbishi
10.roho7
10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…