Hii ndo UDOM!

Mbona hili ni tatizo la HESLB sasa na wala sio UDOM au sijaelewa?

nami naona ni hivyo,ila hali inapokuwa mbaya chuo huwa kinaingilia kati,chuo ni wanafunz na kama chuo ni wanafunz basi ni lazima uongoz wa chuo uwe unasimamia kila jambo linalowahusu wanafunz,,,,,sasa kwa sasa watasomaje wakat hawana pesa ya kula,ya madesa,
 


Sasa unadhani heading yako inahusiana na ulichoandika? Andika HONGERA UONGOZI WA UDOM bwana, Hili c tatizo la chuo, ni tatizo la serikali yako.
 
.....sidhani kama hao wana udom wana njaa ya ukweli...
Wangeshawasha moto.
Ok. Vizuri kuwa na subira.
 
Washeni moto vijana wa udom,achen kulia lia ovyo bila kutikisa kiberiti.
 
hiki chuo cha kata kina vijimambo sijui kwanini hawagomi.

Kata (maana)

Kata ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:

Kata(kitenzi) – tendo la kuachanisha au
kutenganisha katika vipande vipande kwa
mfano kukata mti au nyama.

Kata(nomino) – neno hili humaanisha
migawanyiko ya maeneo katika miji ambayo
huwa na viongozi katika ngazi hiyo.

Kata(nomino) - Kifaa kinachotumika kunywea
pombe za asili.

Kata(nomino) - Kifaa au aina ya nguo,
kitambaa au majani amayo hutumika
kujitwishia vitu vizito kichwani kama ndoo ya
maji.

Unamaanisha kata ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…