Hii ndy bodi ya ligi mbovu kuwahi kutokea

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
YANGA, MWEZI 1 MECHI 9

**RATIBA YA YANGA FEBRUARY**


1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar-National Stadium 1600hrs;

2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs;

3) 08/02/2020 Ruvu Shooting vs Yanga SC National Stadium 1900hrs;

4) 11/02/2020 Yanga SC vs Mbeya City- National Stadium 19:00hrs

5) 15/02/2020 Young vs Tanzania Prisons National Stadium 1900hrs;

6) 18/02/2020 Police Tanzania vs Yanga SC- Ushirika Stadium, Kilimanjaro, 1600hrs;

7) 23/02/2020 Coastal Union vs Yanga Mkwakwani Stadium, Tanga 16:00hrs

8) 25 or 26/02/2020 Yanga SC vs Gwambina FC (FA);

9) 29/02/2020 Yanga SC vs Alliance FC, National Stadium, 1600hrs;

Mwezi February ina jumla ya Mechi tisa, Sita-Mwenyeji, Tatu-Ugenini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida iko wapi gemu nyingi National stadium na si za mbali?. Kabla ya kulalamika tujifunze kufwatilia pia. Kwa wenzetu UK December hupiga gemu za kutosha hata tisa hufika. Na ni kila mwaka hivo hivo.
 
Leo Abbas Tarimba kaongea mambo ya maana sana. Uendeshaji wa soka upo mikononi mwa wahuni. Rais wa TFF mwenye heshima na uadilifu alikuwa ni Tenga peke yake. Waliofuata na waliopo ni wahuni tu.
Kadri siku zinavyoenda, uhuni unaongezeka. Tumerudi nyuma sana na imani ya wadhamini imepungua sana.
 
Ukweli kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hajakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaongea kimihemko tu. Hana la maana analisema. Yeye kama kiongozi mkubwa anadai Wawa hajachukuliwa hatua yoyote kwa kumkanyaga Nchimbi. Je namuuliza Lamine alimpiga teke mtu live bila mpira amefanywa nini? Same as Yondani alimpiga mtu teke aliwahi hata kupigwa kadi ya njano? Tusiwe double standard tuambiane ukweli cz kila.mtu anaona mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapa ndipo lilipo tatizo la watanzania. Badala ya kuona kuwa kwa hiyo nyongeza yako ya matukio yasiyochukuliwa hatua ni tatizo kwa mfumo wetu wa ligi, wewe unamshutumu Tarimba. Unatafuta kuhalalisha makosa kwa kuoanisha na MAKOSA mengine yasiyochukuliwa hatua. Unasahau kuwa anayepaswa kuchukua hatua ni yule yule, hivyo kuzidi kuonyesha udhaifu wake.

Ni vema tukajitoa kwenye utumwa wa kifikra ili tuboreshe ligi yetu. Kung'ang'ania siasa za Simba na Yanga hakujatufikisha popote. Tubadilike

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Ukweli unabaki pale pale. Siku hizi unaongozwa na wahuni. Ndiyo hoja yangu.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarimba alipaswa aangalie kote aache ubwege ndo maana .....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…