Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hahahahaah huyu atakuwa wa koromije au chatoKwani ukichomolea shati ndio itafunika hadi magoti?? Anway na huyu asemaje sasa??
View attachment 716688
anway hongera kwa kutangaza Dushe
Wasukuma bana[emoji3] [emoji3]Kwani ukichomolea shati ndio itafunika hadi magoti?? Anway na huyu asemaje sasa??
View attachment 716688
anway hongera kwa kutangaza Dushe
Dah mi napendashida ipo hapo sasaDuuuh kuchomekea ni kama desturi unayo jiwekea
Hapo inabidi uvae kulingana na umbo lakoDah mi napendashida ipo hapo sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]kunachosha sometimes...ukiinuka lazima ujiangalie kama kupo sawa
Hii ndyo sababu inanifanya nisipende kuchomekea shati.View attachment 716683
Nachomekea on special occasionsView attachment 716695
Bibi unavaaga thong?Floor....na kiatu. ......
Siku ukikutana na mbibi anakusalimia hujambo mjukuu wangu, basi ujue ndo Kasie huyo hehehehehee umuamkie.