Hii ndyo sababu inayonifanya nichukie kuchomekea

I jst wnt to knw wot kind of bibi i am dealin wit

Hahahahaaa looh... sina hamu....

Dealing with Kasie is more than a thesis collection on PhD studies. Yeah... it's sort of....

Have you seen your answer up there....? Hahhahhahahahahahaahah
 
Hahahahaaa looh... sina hamu....

Dealing with Kasie is more than a thesis collection on PhD studies. Yeah... it's sort of....

Have you seen your answer up there....? Hahhahhahahahahahaahah
Hehehehehe

No i haven't
 
Hahahahaaa looh... sina hamu....

Dealing with Kasie is more than a thesis collection on PhD studies. Yeah... it's sort of....

Have you seen your answer up there....? Hahhahhahahahahahaahah
Nw nimeona....so i shud nt expect to see a sexy bibi nw unavaa kibibi tu
 
Hehehehehe

No i haven't

Hahahahaaa looh....

Acting stubborn eehh..... najua umeona uvivu kusoma maelezo marefu.... kaone kwanza.

Thong was Kasie's garments from her twenties to thirties. After being on my forties I change the style.....

Satisfied now!!??
 
Nw nimeona....so i shud nt expect to see a sexy bibi nw unavaa kibibi tu

Lakini Nokia wewee tena Nokia tochi maana uko mwembamba hahahahahha.

Kwanini lakini uko mchokozi? Mie nilisema siku ukiona kibibi kinakusabahi hujambo mjukuu wangu ujue ndo Kasie.

Sass wakati wa sabahi hizo thong utazionaje hata kama zingekuwepo. Ntakuwa nimevaa dera nimelichomekea usawa wa kiuno halafu mtandio wake nimeukunja na kuufunga kiunoni.

Acha ukorofi wako.
 
Nitajua tu kwa kuangalia mtikisiko wa wowowo lako
 
Nitajua tu kwa kuangalia mtikisiko wa wowowo lako

Hahahahaaa ntahakikisha tukiagana naondoka kinyumenyume.... hadi naingia kwenye gari aahahahahha sigeuki nyuma ng'oo aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

Utaona tabasamu tuu likikuaga huku Kasie anaondoka hehehehe.
 
Hahaha, kuna ofc huwa naendaga masaki ,nikiwa nimechomekea napata tabu sana,maana hao staff vivazi vyao,mmmh
 
hahaha kwakweli bora nifungulie!kanikwaza kwakweli!(jokes)
[emoji85] [emoji85] [emoji85] ... Teh teh teh. Mbitiyaza nisamehe bure mamii, unanipa dhima kubwa[emoji17] [emoji17] [emoji17]

Leo nakualika futar kwangu, uje unisamehe vizur bibie[emoji1] [emoji1]
 
Hahaha, kuna ofc huwa naendaga masaki ,nikiwa nimechomekea napata tabu sana,maana hao staff vivazi vyao,mmmh
Hehehee. Siku nilienda TOTAL na mkaka wa ofisini kwetu. Alichanganyikiwa kuona wale wadada wanavyovaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehee. Siku nilienda TOTAL na mkaka wa ofisini kwetu. Alichanganyikiwa kuona wale wadada wanavyovaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakutana na min moja matata sana,halafu Mtoto mkali ,aargh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…