[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saana, wenzetu wanabinjuana tu hakuna cha quaresma,cr7 wala talisca, wanapelekeana moto tuu
Sisi tunakaa na maprotini yetu mwilin, quaresma ikiisha, ukimpelekea mtu moto, goli moja ujazo kikombe cha chai.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tunakaa na maprotini yetu mwilin, quaresma ikiisha, ukimpelekea mtu moto, goli moja ujazo kikombe cha chai.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha sasa mie huyo nayemfuataga masaki ni boss Wangu,Sista duh ,shombe Fulani hv ,yy ni min tu mwanzo mwisho,ukiwa na roho ndogo ,unaweza chomolea shatiHatariii. Sisi wenyewe wanawake tunasemaga kweli huyu mzuri sasa mwanaume anakua na hali gani hapo unadhani
Hii kiatu ya mtumbaNachomekea on special occasionsView attachment 716695
Huvaagi mtumba?Hii kiatu ya mtumba
Kiunoni ambapo ndio unachomekeaWapi kuko sawa
Unapenda YALIYOMO YAMO YA NYAMAKA BINT NYAMBUGE wa Radio one!Usichomekee mwaya maana hapo nishajua yaliyomo yamo
Eeeh napendaUnapenda YALIYOMO YAMO YA NYAMAKA BINT NYAMBUGE wa Radio one!
We binti weweee...
Nawe umenifanya nifikirie vile unavyokuwa ukiwa na hiyo thong...especially ile moment ya kuivua..