Hii ngaz kwa ngaz ya Salama hovyoo

Hii ngaz kwa ngaz ya Salama hovyoo

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Mantiki ya show hii ni nini hasa!??

Uchaguzi mbovu wa Video...

Kachumbari mix. Hovyoo.

Hovyoo Salama.
 
kweli video za ajabu ajabu..
angekua anaangalia wakina nani wana trend , akina nani wana scandal labda ndio unawazungumzia..
 
Mkasi ilikua inabamba sana cjui kwanin kaacha bas abadli idea ya kipnd aboreshe kiwe hot zaid saiv hakina mvuto sasahiv takeone ndo habar ya mjin
 
Yaani salama leo anaonekana kama kale katoto kwenye the climax tv1.......jamani mwenye no.za yule bidada anayetangazaga the base itv anipatie tafathali nipo kutoa mishahara na kiwanja cha urithi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom