Hii ngoma inahitaji kuongezewa nyama kwesho inarekodiwa

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Karibu bomba-dear,nasikia mpaka makete unatua pia.
Chadema hawakutaki,ccm tunakufagilia.
Tunakuombea uishi miaka mia,wapinzani wakikuona wanazimia.
Bomba dear mapinduzi ya usafiri wa anga yamewandia..
Pogba na herera wote wanakufagilia.

Ongeza mashairi kesho tutoe nyimba studio ntalipia mwenyewe
 
Bomba dear, sifa nakumwagia/
Mng'aro wako kinaa, giza linakimbia/
Waso na jema kelele, wivu umewajia/
Nyuso zimenuna, moyoni wanasifia/
Wanayapata mateso, hawawezi vumilia/
Wachunge wasipigwesonona, mwisho wakajifia/
 
Reactions: MC7
Bomba dear, sifa nakumwagia/
Mng'aro wako kinaa, giza linakimbia/
Waso na jema kelele, wivu umewajia/
Nyuso zimenuna, moyoni wanasifia/
Wanayapata mateso, hawawezi vumilia/
Wachunge wasipigwesonona, mwisho wakajifia/
Umetisha mkuu hasa mstari wa mwisho huo..
 
uliandika ukiwa umemix kiroba na nini????????
huuu ni uwehu........
bomba dear ndonini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…